Recent content by mashauridr

  1. mashauridr

    Shime watanzania tujitokeze kwa wingi kwenda kumpokea rais wetu uwanja wa ndege

    mi natafuta kodi ya nyumba na hela ya umeme. mtu anaposafiri si anapokelewa mabegi tu sasa tukienda wote tutafanya nini. tusubiri mh. kikwete afike ahutubie taifa kuhusu uamuzi kwa manufaa ya watanzania
  2. mashauridr

    Mwanaume malaya pia anakosa ujasiri wa kutongoza

    nimeipenda hii, ndo dawa yao kwanza mi nawashangaa mchina 30K unapata cim lakini kuvizia simu za wenzao. kweli wizi ni kipaji
  3. mashauridr

    Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

    huyu hajabakwa ila alitoa mwenyewe kama jamaa alikula mzigo. mbona ni rewritable cd kabisa
  4. mashauridr

    Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

    umesema kweli ila wanawake nao huwa hawana ustamilivu linapompata yeye.
  5. mashauridr

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    lakini kama nia kujinyonga jinyonge lakini si mpaka kufa.
  6. mashauridr

    Samsung Z, mwanzo wa Samsung kuachana na Android.

    both are os. But i just want to know which one has been proven wealthy to the final user. my worry is that may be they want to switch to tizen basing on the market conflicts between them though technically it wont favour the customers
  7. mashauridr

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    Mi mwenyewe nimemaliza miaka hiyo sijawahi tafuta ajira ila nimejitafutia ajira. Halafu huu mfumo wa elimu ya kibongo unafanya watu wategemee kuajiriwa tu si kujitengenezea ajira. Halafu hata tunaposoma angalia kitu ambacho kitakufanya ufit kuajiriwa au kujiajiri si kusoma kwa kukariri eti flani...
  8. mashauridr

    Samsung Z, mwanzo wa Samsung kuachana na Android.

    kiteknolojia tizen au android tofauti yake ni nini?
  9. mashauridr

    sijawahi kuonja ladha ya bamia. Nasikia ni tamu sana.

    ni kwaajili ya malipo tu au kununua seti nzima pamoja na installation
  10. mashauridr

    Hivi hii ishawahi kukutokea?

    inatokea na ikishafikia hatua hiyo tafuta njia nyingine ya kukuweka huru bila hivyo ni hatari unaweza shindwa kufanya mengine ya msingi
  11. mashauridr

    Transfer Window 2014/2015, Special thread

    Mi namshangaa huyu mzee wenger sijaona dalili ya kuoneshq kwamba anataka mchezaji mwenye uchu na magoli kama suarez
  12. mashauridr

    Napita mpaka ndani

    Mwanachama mpya naombeni ushirikiano
  13. mashauridr

    Msaada wa commedy movies

    naombeni msaada wa sehemu naweza kudownload movie za mchekeshaji anaitwa russel peters
  14. mashauridr

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    mi natafuta ya kudownload nikita season 2 na kuendelea
Back
Top Bottom