Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,150
- 7,416
Hata mimi nilishindwa kupata kazi nikajinyonga lakini haikusaidia.
Kwahiyo wewe ni msukule.. mchungaji Gwanjima anawatafuta sana nyie misukule
Hata mimi nilishindwa kupata kazi nikajinyonga lakini haikusaidia.
Kabla hujajimaliza hiyo ijumaa, uza vyeti vyako vya elimu. Itasaidia kupata hela ya kamba, na utaacha kidogo kwa wanafamilia wapate kianzio ata cha sanda na jeneza.
Kufa kupo kwa njia nyingi, naona umechagua hii, fresh tu mnyalukolo.
nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
Mama, nimefanya oral interview, ebu funga kwa kuniombea nifanikiwe.
Uko sahihi Tatiana ,let's pray for him,I am he is going to PM you,be blessed Tatiana!Blessed ninaelewa hali ilivyo na changamoto watu wanazopitia ktk ajira. Watu wanadai ooh ajiajiri? Do they know yupo katika mazingira gani? Opportunities zipi anazo?
God knows and am really sure atamwepusha na hayo mawazo mabaya. Maana inawezekana katumia kila lililo ndani ya uwezo wake amefikia kikomo kwa mtazamo wake. But napenda kumwambia kila jaribu lina mlango wa kutokea. I just pray for him. mwanazuoni2 I hope you can PM me
Uko sahihi Tatiana ,let's pray for him,I am he is going to PM you,be blessed Tatiana!