Hivi hii ishawahi kukutokea?

Hivi hii ishawahi kukutokea?

mh,kusema kweli sijawahi kukorofishana na mpenz wangu kiasi cha kufikia hapo,,huwa tunakorofishana sekunde,,harafu sekunde tunapatana,,na huwa inatokea haturuhusu usiku mzima upite bila kupatana na kusamehehana
 
inatokea na ikishafikia hatua hiyo tafuta njia nyingine ya kukuweka huru bila hivyo ni hatari unaweza shindwa kufanya mengine ya msingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom