Duuh,pole sana,tatizo ni kufikiri kilichofunikwa na chupi na si chupi kama nguo.
Maana wakati anakupelekea maji bafuni,si alihakikisha upo pekee yako na binti jirani hayupo.
Labda uhandsome wako unachangia kutokujiamini kwa mkeo,muache apumzike kidogo hasira na kihoro vipungue,baadaye umueleze...