tuchukulie biashara ndogo tu ya kutengeneza maandazi kwa mfano.
Input: resources ambazo unatumia kufikia lengo lako la kupata maandazi then uuze kisha upate hela. A means of producing goods and services. Hapa utagundua hela sio resource maana haizalishi kitu. Hizo resources/rasilimali ni kama sufuria, kumi/mkaa/gesi/umeme (kiufupi nishati), unga, wewe mwenyewe (human resource), u name it.
Process: ni ule mchakato wa kutengeneza andazi. Unavyochanganya unga, muda unaotumia, mawasiliano unayofanya kuhusiana na unachofanya, n.k.
Output: ni ile bidhaa (product) au huduma (service) inayotokana na inputs na procecc, yaani maandazi kwa mfano wetu.
Huu mfano unaweza kucheza nao kwa shughuli nyingine yoyote. 2+2=4. Lakini 1+1+1+1=4. hope nimesomeka kiasi