Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
lema ametoka leo asubuhi na leo mchana atakua na mkutano Viwanja vya NMC kuongea na wapiga kura wake yale aliyoyaona gerezani,watu wa sehemu mbalimbali kutoka arusha wanaelekea huko,pikipiki zmejaa mitaa ya njiro zikiwa na bendera ya cdm

Yule jamaa aliye waita wapiga kura Panya nae vp yupo viwanjani
 
Kwa taarifa nilizotumiwa hivi punde,eneo la Majengo barabara ya kuelekea Kisongo alipo shujaa wetu,kuna takribani pikipiki(boda boda) zaidi ya mia mbili zikisubiri kumlaki Kamanda Lema.
Mnaoelekea huko msisahau jani linaloitwa "Sale" kuelezea Amani na Ushindi wetu,mpka sasa hakuna taarifa ya Nzi,au mdudu mdogo kujeruhiwa au kufa.
ViVa CDM, ViVa Kamanda Lema,ViVa Arusha
HATA SASA TUNA USHINDI
 
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..

Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..

Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..

pole,itabidi Nepi akuongeze dau leo kwa sababu utakufa pressure.Leo ndio utajua Lema ni Mandela wa Tanzania.Jana nilikuwa Tanga lakini nimekuja Arusha usiku usiku kumuona Mandela leo.
 
kaka huyo rafiki yako mwenye hoteli mbugani anaitwa nani?na alipewa kibali mwaka gani?
kila siku tunalalamika serikali imeshindwa kazi,mji wa arusha umetelekezwa.
wanaoitetea ccm ni wale wanaofaidi ufisadi,leo unatamba hapa kuwa una rafiki anayemiliki hateli mbugani.
ritz wewe ni uzao wa kifisadi.
lazima utetee mafisadi ila nakuambia mwisho wako na mafisadi wenzako uu ukingoni.
arusha vijana wamekata tamaa miaka 50 ya kutawaliwa na watu walewale na watoto wao,sasa wamewehuka kwa kutokujua kesho yao.
jeshi la polisi linajifanya kuhofia alshabaab kumbe kuna bomu kubwa kuliko hiyo al shabaab mitaani.
mimi yangu macho.
 
Hivi PakaJimmy na Preta si wapo Arusha, sasa mbona hawatujulishi kinachoendelea?
 
Kwa taarifa nilizotumiwa hivi punde,eneo la Majengo barabara ya kuelekea Kisongo alipo shujaa wetu,kuna takribani pikipiki(boda boda) zaidi ya mia mbili zikisubiri kumlaki Kamanda Lema.
Mnaoelekea huko msisahau jani linaloitwa "Sale" kuelezea Amani na Ushindi wetu,mpka sasa hakuna taarifa ya Nzi,au mdudu mdogo kujeruhiwa au kufa.
ViVa CDM, ViVa Kamanda Lema,ViVa Arusha
HATA SASA TUNA USHINDI

hao jamaa wa pikipiki badala ya kutafuta kula yao wanashabikia ujinga.
 
Wadau Hii siyo ile kauli ya wahenga ya "Funika kombe mwanaharamu apite inachukua mkondo"? Au jamaa wamelegeza sababu ya Ugeni ambao unakuja?
 
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..

Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..

Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..

Ni afadhali hoteli za mafisadi zikose wateja kuliko wananchi kuteseka kwa kisingizio cha amani. Ukombozi wowote unapatikana kwa machungu; Wananchi wa Arusha mjini na kwingineko msiogope kudai haki zenu kwa kisingizio cha amani, al-shabab n.k.
 
Lema anazidi kulishushia heshma jiji la Arusha. Badala ahamasishe kazi, anahamasisha maanadamano.
 
hivi Lema ametoka au baxo manake thread zkko nyingi hapa na zinatuchanganya. mkutano wake qa NMC ni saa ngapi. mimi nipo huku Losinyai nataka kuhudhuria naomba taarifa tafadhali
 
duh mambo yanaiva zaidi,yani leo mtu akijipendekeza tu na rangi zake za majani mabichi kaliwa
 
pole,itabidi Nepi akuongeze dau leo kwa sababu utakufa pressure.Leo ndio utajua Lema ni Mandela wa Tanzania.Jana nilikuwa Tanga lakini nimekuja Arusha usiku usiku kumuona Mandela leo.

Kweli ulikuwa Tanga mambo ya David Cameroon
 
hahahaha...nimependa hilo neno kwenye red....pia wasisahau kufunga vitambaa vyeupe mkononi
Kwa taarifa nilizotumiwa hivi punde,eneo la Majengo barabara ya kuelekea Kisongo alipo shujaa wetu,kuna takribani pikipiki(boda boda) zaidi ya mia mbili zikisubiri kumlaki Kamanda Lema.
Mnaoelekea huko msisahau jani linaloitwa "Sale" kuelezea Amani na Ushindi wetu,mpka sasa hakuna taarifa ya Nzi,au mdudu mdogo kujeruhiwa au kufa.
ViVa CDM, ViVa Kamanda Lema,ViVa Arusha
HATA SASA TUNA USHINDI
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom