Acha kuharibu jina langu wahii mkutano wa kubwa jinga mwanzako.
Si ndio wale wale wakina kibonde wana mtindio wa ubongo
Si ndio wale wale wakina kibonde wana mtindio wa ubongo
Hawezi kusema yote mengine ni siri yake
Namsubiri nipo hapa Nmc kabisa na bike zote za A-town zinaonesha ushirikiano wa kutosha
Namsubiri nipo hapa Nmc kabisa na bike zote za A-town zinaonesha ushirikiano wa kutosha
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=
Lema anazidi kulishushia heshma jiji la Arusha. Badala ahamasishe kazi, anahamasisha maanadamano.
Na leo Zuberi apeleke masaburi yake viwanja vya NMC atamke neno "nyie panya" aone cha moto. Patachimbika leo. Mbona kuna kamanda amekaimu nafasi yake au ndio kwaheri A-Town? Atakua amerudishwa makao makuu nini, manake wameshamstukia anatumia masaburi kutenda kazi yake.
Hujaenda Job leo?Namsubiri nipo hapa Nmc kabisa na bike zote za A-town zinaonesha ushirikiano wa kutosha
Lema anazidi kulishushia heshma jiji la Arusha. Badala ahamasishe kazi, anahamasisha maanadamano.
hao jamaa wa pikipiki badala ya kutafuta kula yao wanashabikia ujinga.
lengo lake la kwenda selo ni kujifunza maisha ya huko. Anataka kujua wafungwa wanavyofanyiwa wakiwa selo.
Chadema wanazidi kulidumaza Jiji la Arusha biashara zimekuwa ngumu wawekezaji wanaukimbia kutoka na kundi la wahuni wa Chadema..
Nimeongea na rafiki yangu ana hotel ya kitalii mbugani analalamika watalii na wageni wengine wanaogopa kuja Arusha..
Mji umejaa vibaka kila kona wanapora vitu hovyo uku wakijinadi hii ndio nguvu ya umma huku wakionyesha vidole ya viwili..