Recent content by Marquee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina Ekari 30, maji yapo, naomba ushauri nifanye nini nitoke?

    Lima matikiti mkuu yanalipa Sana ......tena watu wananunua maeneo huko mkuranga wengi wanalima matikiti
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimemrudisha mke na mtoto ukweni baada ya kukosa kazi kwa miezi 3

    Pambana kaka .....maisha ni mapambano Kingine take risks ....jaribu kufanya jambo jipya linajitokeza mbele yako Grab any opportunity you come across ... Ukijituma utafika mbili Sana ..... Usikate tamaa ....you were not born to quit ..... Usife moyo .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chui avamia shule katika jiji alilodhalilishwa mwanafunzi mtanzania nchini India

    NAOMBA MLETA HABARI REKEBISHA HABARI YAKO PAMOJA NA KICHWA CHA HABARI. BANGALORE HUKO NDIKO CHUI ALIINGIA KWENYE SHULE YA PRIMARY YA WATOTO ASUBUHI MAPEMA KABLA WANAFUNZI HAWAJAWASIRI .....HUU MJI UNAPAKA NA MSITU WA WANYAMA BANGALURU NI MJI MWINGINE OUT OF TOWN NDIKO MWANAFUNZI ALIPIGWA WA...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina raha na dunia hii tena

    Kifungoni ulijingiza mwenyewe tafuta namna ya kutoka. Hivi sikuhizi watu wanashindwa kufanya maamuzi madogo madogo IPO siku utaingia chooni kujisaidia utaomba ushauri wa kuchamba vipi.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

    Bora kupambana kujitafutia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Nikihitaji binti unansaidiaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Onyo!

    Hahahaha hii kweli kabisa ishanitokea Mara kadhaa alafu kukitumia inakuwa burudani kumbe unaharibu mambo.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Combination ipi inafit kwenye mahusiano?

    Swali lako limenikumbusha mbali Sana. Jmaa yangu enzi hizo alikuwa na mpenzi wake akamcheat jamaa alikuwa na watoto wawili umri under 8 na mkewe hawajapishana age Sana ni mwaka tu dem akajakuchepuka wakaachana baba abakabakia na watoto akaja kukutana na mdada age 24 na yeye akiwa 45. Wakawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msichana wa ndani (Housegirl) anatafutwa

    Kweli au magumashi maana hizi deals zimekuwa nyingi sikuhizi na za kisanii unatoa pesa anasepa nayo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hawatumii pombe

    Inavyosemekana wanakuwa na kitu cha ziada wanachokipenda tofauti na pombe .......sio wote ila kwa ndugu yangu mm hanywi ila anapenda Sana big G anakwambia zinamtoa stress akianza kutafuna ni buruguntu mpaka utashangaa.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mzuri lakini, Ungekuwa ni wewe ungefanyaje!?

    Muwasho muwasho muwasho muwasho muwasho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Cheka kiduuchu, ili utoe uchovu

    Babu lazima alikuwa na macho mekundu hahaha
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

    Kuonyesha kwamba na wewe unafikisha kileleni au????? FYI huyo mwanamke kilaza na wewe kilaza ........hilo nalo La kushauriwa .....mwanaume anachukua hatua na kutafuta jawabu mwenyewe....wakiume ndo waomba ushauri.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa

    Unene unazeesha hapo umenena ..... Unaweza kuta kibonge ukafikiri kimama kumbe miaka kumi na nane ...umemkute mwembamba ukafikiri miaka kumi na nane kumbe 20 something ....hiyo ndo raha yake
  15. M

    JamiiForums Tanzania What quote changed your approach to life or opened your mind?

    When writing the story of your life ,Never let anyone else hold your pen.
Back
Top Bottom