Onyo!

Hahahaha hii kweli kabisa ishanitokea Mara kadhaa alafu kukitumia inakuwa burudani kumbe unaharibu mambo.
 
nikikiota si nakojoa kwa pembeni na kitandani si ntakojoa pembeni..!
 
tatizo mara nyingi kinavutia na hujui kama unaota. labda uanze mazoezi kila ukienda chooni unajifinya ili ukiwa usingizini ujifinye kwanza ushtuke!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom