TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 385
babu kaibiwa nauli kwenye basi,akanza kutangaza 'jamani aliyeiba nauli yangu arudishe sasa hivi kabla sijachukua uamuzi kama wa mwaka juzi'mwizi akaogopa na akarudisha ile nauli.
baada ya hali kuwa shwari abiria wenzake wakamuliza babu kwani mwaka juzi ulifanyaje?akajibu'nilitembea kwa miguu tokasongea hadi makambako baada ya kukosa nauli'
baada ya hali kuwa shwari abiria wenzake wakamuliza babu kwani mwaka juzi ulifanyaje?akajibu'nilitembea kwa miguu tokasongea hadi makambako baada ya kukosa nauli'