Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Daaah acha hizo bana!Siwezi kata tamaa kwa mrembo kama wewe!
Niandikie kule tuendeleze mchakato

Uhuuuu ngoja nikutolee thread kua wewe ndo baba mjengo ahahhaha i cant imagine watu watalipokeaje ahhahhha
 
jamani andikeni vitabu vya ma-story kama Shigongo, mtatoka kimaisha., you don't need to waste your precious time for nothing!!
 
Mkabidhi kwa Yesu.....atamtengeneza atakuwa mpya na kumpata wa kweli...usichovye kabisa mkuu.....
 
achana nae.... kwan uhai wake kwako unakuhusu nini..... kama aliweza kukuacha wakati mbaya kama ule..... ya nn umuonee huruma... kila kitu kwa kiasi... kuwa na huruma kias mwambie arud america mara ya pili .... anaweza akampata wa kumpa 1 billion tzs
 
mkuu, wewe endelea kuchepuka tu, ila usisahau kutumia mashine usije ukamjaza mimba. safi sana, inaonekana wewe ni mtaalamu--unamkuna vzr--ndio maana anakung'ang'ania. mwonyesha ujuzi wako!
 
Ha ha ha....
 
achana nae.... kwan uhai wake kwako unakuhusu nini..... kama aliweza kukuacha wakati mbaya kama ule..... ya nn umuonee huruma... kila kitu kwa kiasi... kuwa na huruma kias mwambie arud america mara ya pili .... anaweza akampata wa kumpa 1 billion tzs

Nakusikiliza Mkuu.
 
Asante kwa ushauri Mkuu.
 
jamani andikeni vitabu vya ma-story kama Shigongo, mtatoka kimaisha., you don't need to waste your precious time for nothing!!

Hata hivyo yanayomtokea mwanadamu kwenye maisha yake, hutengeneza story. story mkuu hazitoki kwenye 'obwe', hutokea kwenye jamii wanapoishi watu!
 
jamani andikeni vitabu vya ma-story kama Shigongo, mtatoka kimaisha., you don't need to waste your precious time for nothing!!

Vitabu vya mastory. Kimaisha tulishatoka siku nyingi! Tunachoshea ni uzoefu mbalimbali tunaokutana nao kwenye maisha haya haya.
 
Chukua hela wewe ili ufidie maumivu aliyokupa halafu umpige chini
 
Kuonyesha kwamba na wewe unafikisha kileleni au????? FYI huyo mwanamke kilaza na wewe kilaza ........hilo nalo La kushauriwa .....mwanaume anachukua hatua na kutafuta jawabu mwenyewe....wakiume ndo waomba ushauri.
 
Back
Top Bottom