Usiwe kama mtoto wa kike wewe,love should never be your first priority utapotea...unahairisha mtihani sababu umekosa mood ya kusoma.. phuck love soma ama disco inakuitaKivipi mkuu nieleweshe nielewe asee
Unafel exam kwa sababu ya mapenz we kwel mbululaa fanya kilichokupeleka shule dogo mtaan maisha magumu bila skulHabari wakuu , naombeni ushari juu ya hili suala kwasababu naona naelekea kupotea toka nimpate huyu msichana performance yangu ya chuoni imepungua mno, pili tumekuwa tukigombana kila siku , tatu nyumbani walishanikaza nisiwe nae niachane nae maramoja ila ikitokea tunaachana ucku basi tunapatana asubuhi hakuna hata mmoja anayekubari kumuacha mwenzie japo ugomvi unakuwa mkubwa mno nashindwa kuelewa hii misukosuko inayonipata tangu niwe na huyu msichana naombeni ushari ndugu zangu yaan hapa kesho nina pepa mbili lakini naenda kuzisitisha kwa kukosa Moody ya kusoma nahisi ntafeli tena naombeni nisaidieni nitoke kwenye kifungo hichi jamani ,
i know, i'm just curiousPerhaps because it was meant for you!
ahaaaaaa loh umeniuwa lohkufa tu Watanzania tuko mill 48 so just go.
swissme
kufa tu Watanzania tuko mill 48 so just go.
swissme
ahaaaaaaa loh umeniuakufa tu Watanzania tuko mill 48 so just go.
swissme
Assante mkuu now nimekubari kuanza maisha mapya yaani ni shule tu MUNGU niongoze juu ya maamuzi haya amenMkuu hiyo hali mimi ilinipata kipindi nafanya masters shule ilikuwa ngumu halafu binti anataka kukaba mpaka penalt aiseeee niliambiwa chagua kudhalilika shule au kuendelea na msichana wako nikaona kabisa shule ndio kila kitu now nakula kuku wanakuja kama kumbi kumbi
Halafu mwanachuo huyo sio primary hapa huwa nakumbuka Faiza fox.Wazazi na ndugu wanafahamu zaidi kuliko wewe huyo ni shetani anayetaka kukuharibia future yako wasikilize nduguzo
Assante mkuu now nimekubari kuanza maisha mapya yaani ni shule tu MUNGU niongoze juu ya maamuzi haya amen
Sasa akifa akaoza si bactera wanam decompse halafu tunapata mbolea mhYour statement is a mere brutality... Kama huna msaada na mtu ni vyema ukakaa kimya... Kwa mfano akifa we utafaidika na nini sasa kwa mfano?