ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,115
- 2,792
jamii forum raha sana.unaweza ingia kuangalia id za watu tu ukabaki unacheka tuu"Ukitaka cha uvunguni sharti uiname." Baada ya kuambiwa hivi na mama, toka enzi hizo mpaka leo sijawahi kuinama mbele za watu mpaka nikiwa peke yangu.