Bado ni brand kubwa mchele wakyela, mbolea inatumika kote hata huko kamsamba.... Sema kiasi cha matumizi ndio hutofautiana..... Hata pale kyela kuna mbuga ambazo hazionji mbolea na hizo ndo hutoa mpunga mzuri, na kuna mbuga lazima utumie mbolea lama tenende, na ibungu, lkn the rest kama ngonga...