Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Mwambie akupe hiyo hela aliyonayo ukacheze biko ukishinda utamnunulia s9+
 
Jana nilizungumzia kuwa roho mtaka mali katutawala na hatuna akili mtugonge mpk tuchanike sababu ni hatuna akili ukajitia kushangaa

Yamekukuta leo!!!

Endelea kumgonga halafu mdampo akili imsogee au mfundishe wewe unataka aweje
Aisee
 
Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
Mkuu, sasa kama hana unatakaa akaibe? Times have changed, maisha nayo yamebadilika. Inawezekana ukaona ana huo mtaji wa kuongezea, lakini labda ana majukumu mengi ambayo wewe huyajui(depending on the nature of your relationship).
 
Mkuu huyu mtu anajua misimamo yangu, anajua ninavyosimamia matumizi na kupinga anasa za kijinga lakini still kaweza kuja kunipa hii biashara napata wapi nguvu za kumpa somo?!
Man wewe ndio mwenye pesa wewe ndio mwenye maamuzi. Mpe option mbili 1 - akubaliane na usbauri wako or 2- hamtafika mbali kwa tabia yake hiyo kama ataendelea nayo.

Lakin pia umpe option kuwa kuna simu kali kwa bei nafuu. Ila kama pia umegundua anafanya hivyo ili kushindana na shoga zake, mwambie hushiriki katikka hio ujinga na huna nafasi.
 
pearsons-300x156.gif

r=-1
Mkuu regression na correlation sinahusika VIP? Au mhusika kashapata huo mlinganyo
 
Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
Hapana, omba lakini kwa utaratibu maalumu. Hornet mimi ukiniomba pesa ya mradi. Biashara, na ukiniaonyesha exactly matumizi yanavyoenda basi natoa hela papo hapo, au nakukabidhi siku hiyo hiyo.
Hata ukitaka pochi mpya, ukiniomba kistaarabu , natoa fasta.

Lakin ukija omba pesa kwa pupa, oh sijua na birthday, sijui michango ya harusi, mama mdogo anaumwa.. sikupi hata 50.

Alaf kuna ile style mnaomba kama vile una mdai mtu. Yaan bf wako unamuomba kwa kulazimisha kama vile ulimpa pesa, hiyo tabia wanaume hawaipendi kabisaaa... hata kama ana hela anaeza asikupe.
 
Hahahaha kweli kaka. Kuna ex wangu mmoja alikuwa materialistic nikashindwana naye. Yeye alikuwa anapenda sana kula starehe. Ukimwambia twende shamba au site anasema "kwanini unahangaika kujenga mbali kote huko wakati unaweza kukodi nyumba mikocheni ya laki saba". Ukiwa naye barabarani akiona gari nzuri anapagawa kabisa. Anawaza furniture za milioni 15 wakati kipato chake hata milioni haifiki. Kalagabaho! nikamwaga kilaini. Akaja kuwa kama zulia, watoto wa mbwa wanajisevia tu. Kajichokea bure siku hizi.
Bila shaka ni miongoni mwa wale walioenda kwa makonda.
 
POGBA HUYU MWANAMKE HAKUFAI BRO!

ACHANA NA NAO WANAOSEMA SIJUI UMEPE SOMO, BINAFSI HUYO SIONI KAMA HATA UNAWEZA KUMBADILISHA CHOCHOTE SULULISHO NI KUMPIGA CHINI MARA MOJA
 
Back
Top Bottom