Recent content by marhaba02

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    TBC mimi napita tu sorry.
  2. M

    JamiiForums Tanzania UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

    4.4 ni first mjomba
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Lowassa ndani ya NEC na Mkutano Mkuu kwa kukataa mapendekezo ya Apson na Kingunge

    Mimi naamini hayo matoke ya mwisho ni ya kupika kura elfu mbili Mia tato mpaka siku ya pili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Anaitwaje?

    Hajawahi tokea Raisi mwanamke marekani lakini wanapo kua kwenye acting zao wanakuwepo na waume zao lakini huwa silence kuhusu jina la mume wa rais labda tuangalie reference kwenye hizi movies
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    alicho kifanya Rais ni kupunguza ukali wa maneno. kwa mtu mkubwa kama Professor kumwambia nimekufukuza kazi is not good. lakini alimaanisha hivyo na utaona.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili NSSF

    Amani ya Mungu iwe kwenu wadau mwenye taarifa juu ya matokeo ya Usaili wa NSSF Atujuze mwisho wa kuwasilisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

    jamani eeee kwa niaba ya wanatakaofanya usaili wa TRA kesho ni kodi ipi na ipi ilikiukwa wakati wa utowaji na ugawanaji wa fedha kutoka account ya escrow
  8. M

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    jamani eeee kwa niaba ya wanatakaofanya usaili wa TRA kesho ni kodi ipi na ipi ilikiukwa wakati wa utowaji na ugawanaji wa fedha kutoka account ya escrow
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview walioitwa NSSF

    jiandae na profile yao
  10. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    na katika hayo mengine ulio ambiwa kama TRA na TANESCO
  11. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    nyinyi kazi fitna tu mkiambiwa mulete ushahidi mnakimbia tumewashtukia mnataka washtushe na tuhuma wabadili muelekeo wachague wakristo watupu hapa mwenye sifa tu na mpaka uadilifu sifa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    nyinyi kazi fitna tu mkiambiwa mulete ushahidi mnakimbia tumewashtukia mnataka washtushe na tuhuma wabadili muelekeo wachague wakristo watupu hapa mwenye sifa tu na mpaka uadilifu sifa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    hio si prove rudi tena shule na sijui ilikuje wakakuajiri kilaza kama wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    kwani mwenye sifa kati ya waloomba ni huyo kijana wako tu na akifeli interview wacha ubwege
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usaili utumishi, auditors

    Unayosema sawa ikiwa nyote hamkupata kabla ya wakati
Back
Top Bottom