NSSF wameita for interview

NSSF wameita for interview

Dumejike vgezo ninavyo! leo nimepata sms yao ila bado sijapata email, naomba kujuzwa e-mail inasemaje na tunapaswa kuprint na kwenda nazo kama za TRA!?
 
Jamani naombeni mnijuze muda,mimi nimetumiwa sms tu ambayo haijataja muda.Email sijatumiwa.Plz....
 
Mim ni muislam na nina sijda na nina vigezo vyote vnavyotakiwa lakin tokea mwaka 2011 naomba kaz waktoa nafas na cijawah kuitwa hata interview na hizi za operation officers nimeomba tena kwa wakat na nimekdh vgezo vyote wanavyotaka na cijaitwa na c mim tu kuna rafk yangu anaitwa omari hajaitwa na anaaply kila waktangaza kaz.hi dhana c yakweli kabxa,je mmefatilia TRA,TANAPA,TPA,LAPF,TANROADS,HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI? huko kote ni wagala wala nguruwe lakin hujaskia waislam wakikoment hum jf,kuwen civilized,nawaomba nssf wafuatilien kwa makin hawa wakristo hapo HQ ndyo wanaoleta hz hoja chafu humu jf ambzo hazna msingi,swala la kuswali ofcn n utartbu wa mtu na c wa shirika,mkumbuke ibada za waislam znakwenda kwa muda usifananishe na misa yakwanza na ya pili.

Acha upumbavu na kupotosha umma ww.. Utawekaje sehemu ya ibada ofisi ya umma?? Je tukiweka sehem za kuabudia din zote ofisi yote si itakuwa nyumba ya ibada

tuache kutetea upuuz

misa za wakristo kwa taarifa yako zinaenda kwa mda... Kila unaposikia kengele ujue ni mda wa kusali...... Kwa kawaida ni asubuhi. Mchana na jioni..... Kila siku
 
Jaman mwenye e mail ya NSSF iliyowatumia mwaliko wa interview naomba anitumie maana mimi nimetumiwa sms kwa namba kama ya simu ya landline kunialika kwenye interview IFM Tareh 13 but for more information wameniambia nicheck kwenye e mail yangu.Nimecheck kwenye e mail both inbox na kwenye spam hamna kitu naomba mnipatie email yao jaman nijaribu kuwaulizia.
 
Nawaomba watu wa management hapo NSSF HQ wafatilien wakristo wote hapo oficin tena weng wao hawa wenye vidigrii vyao waloajiriwa kuanzia 2010 wengi wakitoke UDSM,SAUT,MZUMBE na vyuo vingne vchache kama MAKUMIRA hawa ndo wameweka mpango wakuchafua uongozi wa ustadh DAU kwa kadri watakavyoweza na huo ni mpango madhubuti toka makanisani kwao wanakoabudu.Lengo uonekane uislam c din ya haki haohao wakisahau tupo waislam weng tunauona UOZO wa kidin maeneo mengi kama CRDB,TANAPA,TPA,TRA na hata majeshini,kuomba field tu kwa cc wakina ABDULWAKIL ni tatzo,wakristo 10 muislam 1 lakin hujawah kusikia muislam akileta hoja humu jf hata mara moja na wanayaona,je ni taasis gan hata iwe ya kdn inayotangaza kazi iseme upate barua ya uthbitisho kutoka kwa mufti/shehe lakn hawa wagalatia kaz nying znatangazwa hum na barua zptie kwa padre/mchungaji ila hatusemi,na WORD VISION ipo tanzania nchi isiyo na udin lakn haijiri waislam kabxa,naomba mnambie TRA ni ya wakristo? mbna waislam hawasemi?

Naona umeamua kuvichafua vyuo sasa.. Ila uajiriwe ww wa muslim college.. Mnaopeana GPA fake
 
Jamani mbona email hiyo hainifikii mimi,ama kwakua sio upande ule mwingine wa dini!!?Mbona za TRA zimeingia bila shida!

Kama umeomba operation officer fika tar 13 IFM Kuanzia saa sita kamili uje na kitambulisho chako.sasa unatakiwa usome email.ili upate serial number ambayo ndo namba yako ya mtihani.
chunguza email yako katia spamer .
 
hio si prove rudi tena shule na sijui ilikuje wakakuajiri kilaza kama wewe
 
nyinyi kazi fitna tu mkiambiwa mulete ushahidi mnakimbia tumewashtukia mnataka washtushe na tuhuma wabadili muelekeo wachague wakristo watupu hapa mwenye sifa tu na mpaka uadilifu sifa.
 
Kama umeomba operation officer fika tar 13 IFM Kuanzia saa sita kamili uje na kitambulisho chako.sasa unatakiwa usome email.ili upate serial number ambayo ndo namba yako ya mtihani.
chunguza email yako katia spamer .
Mkuu nimechek kwenye spam hakuna kitu, ila sms nimeipata tatizo ni hiyo serial number kuipata shida!
 
Wakristu na waislamu tumeishi kwa amani kwa muda mrefu,mambo ya kupita yasifanye tugeukane,nasikitika sana kuona matusi na udini,kila mtu aheshimu dini ya mwenzake,dini zenyewe tumeletewa tu ibada zetu wote zilikua matambiko chini ya mibuyu,kukosa kazi nssf sio mwisho wa dunia,tuache kulumbana kwa mambo yasio na tija.
 
Kama huioni email kwenye inbox, angalia kwenye spam, me yangu nimeikuta huko.
 
Dumejike vgezo ninavyo! leo nimepata sms yao ila bado sijapata email, naomba kujuzwa e-mail inasemaje na tunapaswa kuprint na kwenda nazo kama za TRA!?

Ni vizuri tuliopata sms bila email tufahamiane ili siku hiyo tujue tunafanyaje!
 
namshukuru mungu kwl nimwaminifu tra cjaitwa ila hku nimeitwa tujuzane bac maswali watakayo uliza tujiandae na interview kuliko kulumbana kuhusu dini wadau.
 
check e-mail zenu wameita written interview nafasi za operations officers

Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!
 
Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!

Hakika hata mimi nina wasiwasi.. Kaz unatangaza kwa magazet majina unatuma kwa siri... TRA wao unaomba online hivyo haikuwa na tatizo kutuma kwa email.. Lakn nssf kwa kweli huu ni uharamia
 
Website wanayo, kwa nn wasiweke majina hapo waziwazi, waliofanikiwa wajione na waliokosa wajijue. Kwa nn wanafanya kwa usitsiti? Kuna jambo hapa si bure!

waweke hadharani muone majina ya vigogo mfuatilie kama uhamiaji...hiyo ndo technique mpya..hamuwapati tena
 
mbona hatujaona email zaidi ya txt

Issue tusiopata email shida ni muda wa kuhudhuria interview, coz wengne wameambiwa wanafanya saa 8:30AM na wengne ni 12:00PM,halafu sms inasema interview ni 13th-14th Dec,sasa sisi tunaenda lini!! Ni sheeda!!!!
 
Back
Top Bottom