Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

Wabongo kwa kuuliza mishahara hawajambo. Cha kushangaza kwenye usaili hawaulizi
 
TRA wamesema uende na barua ni barua ipi wakuu, ni ile email unaprint then unaendanayo au kuna barua nyingine wametuma kwa njia ya posta? naombeni ufafanuzi ndugu zangu.

Ile ile ya email.
 
Kilimo hata serikali imekitelekeza.. Na ndyo maana bajeti ya safari za rais na sawa na bajeti ya maendeleo ya kilimo😡

Kila kitu sio lazima tufanye siasa... vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu recently wamekua wanajihusisha na kilimo na kinawalipa sana.. Ukuitegemea serikali kwa kila kitu utakufa maskini tu
 
That's why mnaona Kilimo hakina maana sababu kimetelekezwa na serikali pia kinapewa bajeti ndogo,but trust me Kilimo kinafaida sana
 
Kila kitu sio lazima tufanye siasa... vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu recently wamekua wanajihusisha na kilimo na kinawalipa sana.. Ukuitegemea serikali kwa kila kitu utakufa maskini tu

Mhhhhhhhhh acha uongo wako ww
 
TRA wamesema uende na barua ni barua ipi wakuu, ni ile email unaprint then unaendanayo au kuna barua nyingine wametuma kwa njia ya posta? naombeni ufafanuzi ndugu zangu.

Kama hujapata original kutoka adress yako ya posta peleka pua yako utarudishwa uendelee kuganga njaaa!!
 
Mjiandae kuna jamaa yangu anatoka KIGOMA leo alienda kwa mganga ili akiingia kwenye chumba cha interview wote mlale usingizi mpk muda wa kuisha usaili sasa jipangeni;
 
Hahahahh!!! Hii kali asee Mimi npo na mungu tu usingizi wake haufui dafu
 
jamani eeee kwa niaba ya wanatakaofanya usaili wa TRA kesho ni kodi ipi na ipi ilikiukwa wakati wa utowaji na ugawanaji wa fedha kutoka account ya escrow
 
corporate tax.
 
ukigawanya kwa miezi 12 ni 1,800,000 maximum ambayo bado si lolote, si chochote

umesemaje wewe?? mwalimu wa degree anayelipwa 420,000 kwa mwezi ndiye lolote chochote??

Tatizo mnapenda sana kuniga tai wakati mnakufa na matatizo mioyoni mwenu...

1.8m per month ni mshahara wa watu maalum sana serikalini.
 
Back
Top Bottom