Je, Anaitwaje?

Je, Anaitwaje?

mwanamume Wa shoka aka mnayemtetemekea Mimi nalamba makofi na mambo flan,au muungwana namba moja.
 
Kama kuna bedroom bully huyo ataitwa state house bully.
 
Hajawahi tokea Raisi mwanamke marekani lakini wanapo kua kwenye acting zao wanakuwepo na waume zao lakini huwa silence kuhusu jina la mume wa rais labda tuangalie reference kwenye hizi movies
 
Swali zuri la Msingi,
Ataitwa:
1. Mister First Lady.
2. First Lady Boy aka Man.
3. First Gentleman.
4. First President's Husband.
5. First Man of the President.

hahahahahaaa hivi jf kunakuaga na karakana ya kuunda machizi-fresh na huyu ndo moja ya wahitim wake?
 
Hii kitu gender issue iliwashinda wenzetu majuu wakatuletea huku. Sisi kwa uzuzu na kupenda sifa tunaidaka tu, ooohh 50/50. Kitabu gani kilitamka hivyo? Hats utamaduni Wa jamii kubwa ya waafrika hatupo hivyo. Ndoa kwao hazidumu na Kwetu zinavunjika kila kukicha. Mjengee mwanamke uwezo hapo kwako kama hataanza kukudharau. Ndo maana wanawake hawapewi uwezo mkubwa.
 
Cheka uongeze siku za kuishi,
Habari ya Mujini ni Dodoma na Top 3,
Unaonaje, Magufuli atatuvusha kwenye Urais October ???


hahahahahaaa hivi jf kunakuaga na karakana ya kuunda machizi-fresh na huyu ndo moja ya wahitim wake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom