Maswali ya interview walioitwa NSSF

naomba majibu wadau:
1.what are the core function of operations officer?
2.what are difference of NSSF scheme benefits from other schemes?
3.what are the categories does scheme covers?
4. what are the bendfits does scheme offer!!!
dear friends let leave dialogue of religiism!!! let focus what is ahead my dear friends!!!!!
 
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua maswali hayatakua exactly like here but tupeane ideas alafu at the end of the day kwenye mtihani unachanganya na akili zako za kuzaliwa ,haimaaninishi kama ukuleta idea hapa tutakuzidi au tutakupita najua kila mtu ata gain na kupata kitu kipya. karibuni waDAU WAPENDWA

naomba majibu wadau:
1.what are the core function of operations officer?
2.what are difference of NSSF scheme benefits from other schemes?
3.what are the categories does scheme covers?
4. what are the bendfits does scheme offer!!!
 
nili screen shot the job adv ambapo kuna resp zke cjui intatumaje hpa? muone wote
 
naomba majibu wadau:
1.what are the core function of operations officer?
2.what are difference of NSSF scheme benefits from other schemes?
3.what are the categories does scheme covers?
4. what are the bendfits does scheme offer!!!
dear friends let leave dialogue of religiism!!! let focus what is ahead my dear friends!!!!!

bravo! guy u tiped on da point view of NSSF As a whole even if they come up out of dat its also important to know how it operate n how both employees n employers benefit.
 
Naomba msaada email inasema nini?Kwa maana mimi sijapokea email ila nimepata sms!

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet
 
Mleta mada msaada tafadhali,email inasema nini?,mimi nimetumiwa sms pekee,itakua saa ngapi?

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet
 
mie nimepata sms emai cjapata. tusaidien maswali jaman

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet
 
hata mimi nimepata text message but email sijapata..
Nilisha sahau kama niliomba kazi huko duuuh

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet
 
sasa kwa sie tuliokosa mail jaman tufanyaje?

Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet
 
kuita kwenye written interview wanaangalia minimum qualification walizoziweka, mi ni mkristo na nimeitwa, natoa picha ya interview maana niliwahi fanya mara ya kwanza:
interview ilikua na secion 3
1. kiingereza
2. hesabu
3, ni professnal, ujue what is operatons Managemet, na chochote kinachiusia na operations, hakukuwa hata na swali moja la siasa, NSSF, wala JOB Descriptions
 
Tena kwa kuonesha kwamba Nssf hawataki lawama kwa hawa wanaosema kuna udini sijui waislam wanapendelewa interview inafanywa kwa kutumia serial number

Na wameoutsource hiyo interview kwa watu wengine kabisa

Huo udini mnaosema makafiri unatoka wapi.
 
Kama kwenye inbox yako haujaiona hiyo msg kutoka NSSF jaribu kuingia kwenye upande wa SPAM MESSAGE utaikuta huko... Kumbuka hiyo e-mail ya NSSF ni muhimu sana kuliko hata hiyo sms kwa kuwa pasipo kuipata hiyo hauwezi kuattend interview yao kwa kuwa hautakuwa na serial number yako ya kujaza kwenye answer booklet

wengine hatujaona email kbsa yani cjui itakuaje
 
Kama ulitumiwa msg kuwa unatakiwa kwenda kwenye interview ni lazima watakuwa walikutumia msg... Ukiona kuwa hawajakutumia kuna uwezekano mkubwa ikawa wakati unawatumia maombi yako labda ulikosea kuiandika vizuri email yako hivyo wakatuma kwa mtu mwingine. Hivyo jitahidi siku ya interview ufike kwenye hiyo venue mapema na kuwauliza wahusika mapema wakupe msaada au vinginevyo fika HQ kabisa siku kadhaa kabla upate muongozo wao

Ila kama hata msg kutoka kwao haujapata kuwa watakiwa kwenye interview yao basi yakupasa kuelewa kuwa haujabahatika kwenye hilo na ujaribu tena pindi watakapotangaza nafasi mpya.

Vinginevyo fanya kama nilivyosema hapo juu kama ni kweli ulipata msg kutoka kwao
 
Kikubwa ni kujiamini. Maswali always flexible. Kama kweli elimu hiyo uliyoipata haikuwa magumashi lazima utajiamini. Unajua ukimsikiliza eti fulani aliulizwa hivi ujue elimu yako na wewe ina walakini
 
Back
Top Bottom