Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Ccm haitofutika. Wakuja ndo watafutika. Wataiacha ccm inasonga. Msilazimishe mambo hata mkilazimisha haitokuwa mnavyotaka. Siri ya uongozi wa taifa hili iko kwa Mungu
 
heeee kwani aliekuambia ufosaro ni ccm ni nani ?????she has rights kua na chama japo hana haki ya kushabikia chama chochote in the course of work or employment hayo ya kukunja sura kama u did psychology pambana kuangalia body language yake tuone mwisho wa siku utaambulia nini...
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Sawa mzee wa sembe
 
Mndewa umenena hata Kule TBC redio kuna vibaraka wa UKAWA akinà Jesse John na Glory Ngayoma
 
Kituo cha runinga cha ccm kinaitwaje?
 
Bora yeye anatangaza amekunja uso, TBC ambacho ni chombo cha Taifa hakitangazi kabisa. Kubwa zaidi kipindi cha magazeti ya jmamosi mtangazaji hakusoma habari ya Ukawa na vichwa vya habari vilivyokuwa vikubwa!! Kuliko asome habri za front page alikuwa andaenda kusoma habari nyingine ndani ya gazeti. Kama kuna uwezekano wa kuiondoa tbc kwenye dstv nitakuwa wa kwanza. Chombo cha taifa kinaonyesha ubaguzi wa wazi wazi kabisa.
 
Ningekujua ningekuchapa makofi angalau matatu cleverbright unakuaje mbea kiasi hicho?angalia ya familia yako acha umbumbumbu wewe!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni media private kaka,toa macho na TBC unayokatwa kodi ili ijiendeshe halafu inahamia CCM...hoji wanaosoma magazeti ndivyo sivyo na tunawalipa mishara kwa kodi zetu. Lakini unashupaa na ITV....nonsense!!
 
ungesema TBC sawa. Maana hata magazeti ya UHURU, HABARI LEO yote hayaandiki habari za upande wa pili. Its really a shame.
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

JAMII FORRUM IMEGEUKA sehemu mtu anashambuliwa kwa kuonyoosha au kukunja uso wake (Victimized by facial exppression). Mods whatvever political inclination you have, this shouldn't be here honestly.

we can't attack people just by our interpretation their facial expression. I am Ok if we talk about Kikwete, Lowassa Magufuli and those people, but Ufoo... give me a break.....

i repeat Mods whatever political inclination you have; this should not be here
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri, una acha kuwashangaa wanahabari wa TBC na Uhuru kwa kutoa taarifa za kuipendelea CCM, we unahangaika na mwanahabari wa kituo binafsi ambacho hakitumii hata kodi yako! Au una tataizo binafsi na Mdada wa watu?
 
Mleta uzi vp! kwani mwenye ITV anatoka wapi? halafu ww unazungumzia taarifa ya habari, kwenye malumbano ya hoja je? Anaeisema vizuri ccm anakatizwa-muda umeisha. Lkn km unaiponda serikali, watangazaji wanakauka tu.
 
Hata ww uwezo wako mdogo, ulishaona mwanahalisi ikaandika vibaya juu ya cdm. TBC ni chombo cha serikali hakiwezi kuisema serikali kwa maana nyingine haiwezi kujisema. Uhuru ni gazeti la ccm km mwanahalisi la cdm. Think before u write.
 
JAMII FORRUM IMEGEUKA sehemu mtu anashambuliwa kwa kuonyoosha au kukunja uso wake (Victimized by facial exppression). Mods whatvever political inclination you have, this shouldn't be here honestly.

we can't attack people just by our interpretation their facial expression. I am Ok if we talk about Kikwete, Lowassa Magufuli and those people, but Ufoo... give me a break.....

i repeat Mods whatever political inclination you have; this should not be here

filho da puta.
 
nilitarajia au natarajia uandike pia na ya TBC has a hili la juzi la gAzeti la maji a
 
Back
Top Bottom