Mimi nasubiri matokeo ndipo ni-coment positively or negatively. Musimu uliopita vyura walikuwa wanapiga kelele sana kwamba simba kasajili wazee, matokeo yake tumeyaona. Hivyo maadam usajili tayari,tusubiri matokeo ndipo tu-judge kipi ni kipi!
Usimlazimishe mtu kufuata au kufanya jambo kinafiki wakati nafsini ni dhoofu hali. Sidhani wasaudi wanapoenda nchi za kikristo huvua vazi lao walivaalo kwa sababu tu ya kuheshimu mila na desturi za wenyeji wao. Mbona wao wanapiga nao stori tu kama kawaida, kama wanavyoonekana pichani? Ila wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.