Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Hahaaaa... We piga teke kopo la helaKimbia tu usitake kujua aisee

Hahaaaa... We piga teke kopo la helaKimbia tu usitake kujua aisee

Sitaki ungekuwa nazo usingeuliza kiasiHahaaaa... We piga teke kopo la hela![]()

Unlimited bundle.... HatupimiiSitaki ungekuwa nazo usingeuliza kiasi![]()

Ndiyo mkuuUnlimited bundle.... Hatupimii![]()
Sijakataa kumsaidia lakini ikija ishu za pesa, mwenzangu ana kaz mie sina kazi. Namwambia nakukooesha urudishe mwisho wa mwezi, anasusa. Anataka nimdmsaidie kama ninavyomsaidia mwenza wangu. Hajipi nafasi ya kirafiki katika kusaidiana.Tatizo nyinyi mtaka msaidiwe nyie tu, c vbaya kumsaidia mpenzio na kingine wahenga wasema tenda wema usepe.
Nina 27. Mwenzangu ni 28.Duuuu 36 yrs bado ni mtindo wa uboy na girlfriend?hakika lazima akudharau,how old is ur boyfriend?
Mama yake anajua matatizo yetu.mshitaki kwa mama yake achapwe..!
KeMbona sikuelewi, wewe ke au me??
Mkuu alinipenda kwa dhati hata najulikana kwao. Shida zake zote alikuja kunieleza nikiwa kama rafiki, hiyo kitu mpaka leo bado anayo akilini na ndio maana akipata shida anarudi kwangu.Ukiuendekeza moyo utaendelea kutumika kwenye matatizo yake mpaka ukome, nafikiri kitu kilichobora kwako ni kumpuuza !! Mpuuze hata akipiga simu usipokee au Chelewa kuipokea ili aone kwamba yeye si muhimu kwako,akituma SMS usimjibu maana unavyozidi kumuweka karibu ndivyo unavyojiandaa kujitengenezea kashfa atakazokuja kukukashifu baadae na uelewe uwezekano wa wewe kua mke ni finyu mnoo ila una nafasi kubwa ya kutoa misaada
"Kabla ya kufanya maamuzi chagua moja,kumuacha aendelee na safari kwa hapa mlipofikia au kumuacha arudi uje kua mshauri wake na mtoa misaada "
Bado. Nilikua nataka aombe msamaha sasa anaomba msaada.anataka kurejesha majeshi vip kwani wewe colony limechukuliwa tayar
Ok, maana kuna paragraphs upo ke na nyingine upo me kwenye simulizi yako.
Basi endelea kumlea hata utakapokufa aje akueleze shida zake kabirini maana unahisi huyo ex wako bila wewe hawezi ishiMkuu alinipenda kwa dhati hata najulikana kwao. Shida zake zote alikuja kunieleza nikiwa kama rafiki, hiyo kitu mpaka leo bado anayo akilini na ndio maana akipata shida anarudi kwangu.
nshakujibuKweli kabisa miss chagga. Inaonekana hao wanapendana sana ila saa nyingine wanazinguana ili kuona response ya mwenzake. Nimeukubali uchambuzi wako kwa 100%
Asantenshakujibu

karibuAsante![]()