Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,149
kwa hiyo sasa atakuwa alhaj paul au mmeshampa jina??
Atakuwa mjamba sero, next qn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo sasa atakuwa alhaj paul au mmeshampa jina??
Chuki ya udini inakutafuna,angalia usije ukapata vidonda vya tumbo.Niliufungua ili nitoe hisia zangu kwa sababu kila ninapouona unanichukiza
Umejielezea!Chuku ya udini inakutafuna,angalia usije ukapata vidonda vya tumbo.
Nenda kliniki ukapime,nyingine hua zinaanza kwa kuchukia vitu bila sababu ya msingi.Umejielezea!
SawaNenda kliniki ukapime,nyingine hua zinaanza kwa kuchukia vitu bila sababu ya msingi.
Ngolo Kante,Mambo ya TaraweeView attachment 1127663
Habari za Nicolas Anelka ulizisikilia wapi?
Hata Yesu wanasema alikua Muislam
Wale jamaa wanaochukia Tamthilia ya sultan watakwambia Cristiano ni mdini anapromote uislam.
View attachment 1127682
Swala 5 huyo.Paul na macca wapi na wapi
So what?Huu mji hua unapata watalii wengi saana
Acha ujinga wewe
Ugaidi kwa Binadamu wengineNimeipenda hii...
"...Uislamu ni - heshima kwa binadamu ".
Hata Yesu alisulubiwa na Wayahudi kwa dhanna tu. Si mapya hayo.Ugaidi kwa Binadamu wengine
Uislam = UgaidiHata Yesu alisulubiwa na Wayahudi kwa dhanna tu. Si mapya hayo.
Uislam = Ugaidi