Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Kuna ushauri wa kiafya kuwa, mwanaume usivae inayo kubanaa sana. Iwe legelege hivi ili korodani zisibanwe vifuko viweke mbegu vizuri. Haswa kwenye joto jingi ni vyema nguo hiyo iwe legelege kuruhusu cooling system itende kazi yake. Hivyo kama huvai na huna shida ni bora pia.
point mkuu
 
Sio tatizo kabisa.
Tubeless Ina save mda sana, hasa hasa ukipata pancha.
Hakuna mambo ya kutoa tube kuziba ni mwendo wa kujaza upepo na kuchomeka utambi kwenye tobo linalo vujisha upepo.
kabisa mkuu
 
Safi safi, kuvaa boxer inafanya mjengo kupinda wewe mjengo wako umenyooka hongera sana Mimi navaa msuli ili nisiharibu mazingira
 
Endelea hivyo hivyo tu Mkuu kutokuvaa Boksa wala Chupi kwani utaweza kufaulu with a distinction Somo la Usukumaji Ukuta ambalo unaweza hata kulitumia pale ukimaliza Chuo na ukiwa bado unatafuta Ajira na likawa bado linakuingizia tu Kipato kizuri tu kwa njia ya Kutukuka kabisa ya Kibaiolojia.
kusukuma ukuta ndiio nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom