Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

Kwan c niliwahi kumsikia CEO Magori akidai kuwa baada ya Kilomoni kukatalia hati walienda RITA kupata nyingine?Ubabaishaji mkubwa!
 
Na mimi naomba atoke, ila hii ishu iliishaga kitambo,. Sisi wanachama tulikubali toka mwanzo , inakuaje mwenyekiti aje apinge saivi kati tushaingia makubaliano huu ni ujinga na business haziendi kitoto hivi. Sisi ndio tumemchagua yule mkwabi kwanini ashindwe kusimamia mambo tulokubaliana? Kama yeye na kina kilomoni hawataki basi waitishe mkutano wa dharura, waeleze ishu iliopo then sisi wanachama tufanye maamuzi na si yeye mkwabi na nduguye kilomoni!!. Ile sio timu yake ni timu yake huyo mkwabi na kilomoni. Au kama wanaona mo ni tapeli watafute mwekezaji ambae wanaona yupo vizuri ila mashabiki hawataki kurudi kwene changishana wakati sie twataka timu ijiendeshe zaidi
 
Sasa yeye ana 49% ya hisa, kwa nini anang’ang’ania ashike hati ya mali za timu, MO amekaa ki ujanja na utapeli tu. Halafu anaithaminisha Simba kwa kutumia majengo tu bila ya brand, Simba ni brand kama ni majengo tu ya Kariokoo ni bei ndogo ila brand ya Simba ni kubwa. MO ana dalili zote za utapeli.
Nyinyi, ndio Nyerere aliowasema kuwa, una almasi, anakuja mtu na chupa,iliyopondwa na kuambiwa ndiyo almasi, na almasi halisi uliyonayo, siyo almasi. Mnabadirishana! Basi unatoka hapo, ukiwa na vichupa, unashangilia kama zuzu!
Simba wasijidanganye kumpoteza MO! Kwanza, wanachama/wapenzi wa Simba wagumu kweli kuchanga changa fedha!
Asiyejua kufa, atazame kaburi (Yanga).
 
Watz njaa inawafanya muabudu watu, MO yeye ni mwekezaji, hajipangii bei, Simba ndio wanapanga bei, kila kukicha yeye ni manung’uniko na kusema Simba thamani yake ni 3bn tu ya majengo ya Kkoo, huo ni uhuni.

Kama MO hawezi kuwekeza 20bn iliyokubaliwa afunge virago aende, Simba imeishi tangu 1930s na itaendelea, yeye mbona Singida Utd na African Lyon zilimshinda?
 
Kama MO hawezi kuwekeza 20bn iliyokubaliwa afunge virago aende, Simba imeishi tangu 1930s na itaendelea, yeye mbona Singida Utd na African Lyon zilimshinda?
Ukiwa ROFA, hata ufanyeje, utabaki kuwa chini ya mwenye nacho.
Hebu tuambie, toka ajiengue Manji huko Yanga, hiyo BRAND yao imewasaidia nini?
Na ukichunguza wachangiaji wengi wanao mponda MO humu, si wanachama/mashabiki wa Simba!
 
Bado nashikilia msimamo wangu, natamani Mzee Kilomoni afe hata dakika hii nitakayotuma haya maoni
 
Watz njaa inawafanya muabudu watu, MO yeye ni mwekezaji, hajipangii bei, Simba ndio wanapanga bei, kila kukicha yeye ni manung’uniko na kusema Simba thamani yake ni 3bn tu ya majengo ya Kkoo, huo ni uhuni.

Kama MO hawezi kuwekeza 20bn iliyokubaliwa afunge virago aende, Simba imeishi tangu 1930s na itaendelea, yeye mbona Singida Utd na African Lyon zilimshinda?
Unaongea kirahisi sana.Bila Mo hiyo simba watapitisha bakuli nakwambia.Hizo mbwembwe zako ziishie uku kwenye mitandao.Timu zetu hazina uchumi wowote imara bila kutegemea matajiri.
 
Back
Top Bottom