Recent content by Manyanza

  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Mimi ushauri wangu kwa mtoto tu hapo, masuala ya kunywa pombe kupitiliza sitaki kuyagusia kabisa. Ni hivi .toto wa miaka saba hakuwa na uwezo wa kujua wala kuchagua mazingira aliyozaliwa. Kwa hiyo asimfanye mtoto alipe gharama ya makosa ya wazazi wake. Kama akimuangalia mtoto na hasira...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Baba Levo daaahh 🤣🤣🤣
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wafanye nini waonekane wanachapa mzigo kusaidia nchi?

    Asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana weledi wa kufanya kazi kwenye ofisi za Umma alisema Prof Mussa Assad CAG mstaafu Asilimia 40 ya watumishi wa umma ni mizigo alisema Mbunge George Simbachawene, aliyekuwa Waziri wa Utumishi. Wewe sijui hizo asilimia utazijumlisha au utazitoa ili upate...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Ndo kusema dudu ni project ya mbogamboga ???
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    https://www.facebook.com/share/r/1GqCWNh81C/6K views · 490 reactions | Ukinielewa jiitie BASATA mwenyewe 😅😅😅😅😅 | Bongo Zozo
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Kama una watoto na huyo mke wako, zingatia watoto hiyo ndio copy yako. Huyo piga chini. What are you waiting for???
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Mwenye dhamana akichelewa kulinda maadili ambayo Mungu anayasimamia, Mungu atamuinua mtu yoyote hata akiwa muhuni asiyefuata utaratibu wala sheria au ustaarabu kuyalinda hayo maadili. Suala la ushoga na usagaji tuyapinge kwa 100% ni laana, ni unyama uliokubuhu na ni ushetani wa kiwango cha...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    OFFICIAL: lfc can confirm the appointment of Julian Ward as Sporting Director with immediate effect. Mike Gordon: "We are delighted that Julian has agreed to take over leadership of our football operations department at this juncture, primarily because it is a role for which we believe he is...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Muwekewe utaratibu muwe mnalipa kodi hata 50,000 kwa mwaka ili mfanye biashara bila pressure
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Hii ndio permanent solution 😃 Uko poa Mkuu ?
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Mimi huwa naweka kwenye comments, lakini Moderators ndio huwa wanaziunganisha pale kwenye comment ya kwanza
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mdada anaitwa "KOKU" au "NATASHA" alafu awe ametulia😁

    Nimefuatilia si kweli
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Safari ya Misukosuko (2006) — Sehemu ya Pili (Mwisho)

    ShesRise_1 njoo unywe milkshake 😋
  14. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Safari ya Misukosuko (2006) — Sehemu ya Pili (Mwisho)

    leo dada part 2 iko hapa
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Cody Gakpo on if criticism last season was a bit unfair: “I don’t know, because if you are at a big club like Liverpool, you need to perform. I don’t want to speak about somebody else or other players but, me, I know I could do much better than I did last year. “So, I don’t know if it’s...
Back
Top Bottom