Kirusi cha Mwilini na Kirusi cha Kijamii!

Kirusi cha Mwilini na Kirusi cha Kijamii!

Dah aisee issue ya 2019 mpka leo umemsaidia mtu na umekumbuka hakika huyo alikua kirusi haswa

Bora alikubakiza haja kuua
Yaani kufikia kumkataa mazima ni uamuzi bora kabisa kwa sababu hana msaaada wowote ule kwangu, akae pembeni na maisha yaendelee tu.
 
Kwa ufupi sana
Mifumo ya kurekebisha tabia kama jela au gereza au mahabusu ilianzishwa kwa makusudi ili kuwatenga wanadamu virusi ili wasisababishe taharuki kwa wengine. Laiti kama mifumo hii ingetumika vizuri changamoto zinazosababishwa na hawa virusi nyingi zingepungua.
Kuna namna kama hilo darasa jela halitoi wanafunzi bora ?

Nimewahi kusikia mtu katoka jela kawa nunda zaidi
 
Yaani kufikia kumkataa mazima ni uamuzi bora kabisa kwa sababu hana msaaada wowote ule kwangu, akae pembeni na maisha yaendelee tu.
Hakika umemjua hakuna haja ya huruma itakayokuangamiza maisha yako kuna watu hawafai kabisa kupewa nafasi ya pili
 
Kuna mama jana nilimfukuza kwenye nyumba yangu, ila baadae nikamwambia aendelee tu kuishi ktk nyumba hiyo kama mpangaji maana asije akaniona kama kirusi.
Basi hauna msimamo na hii ni element ya u kirusi. Kubadilika badilika 😀
 
Back
Top Bottom