Recent content by Manundu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Kuangalia hotuba zake kama uko ma watu unaowaheshimu,unaomba udhuru maana hakawii kuharibu...ningeshauri TV wawe wanaweka ile 18VL Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Jamani bado tupo kweliiii!!! Ni muda sana
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Van Damme Alivyocheza Break Dance Akiwa na Shabba Doo na Boogaloo Shrimp.

  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Van Damme Alivyocheza Break Dance Akiwa na Shabba Doo na Boogaloo Shrimp.

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ufuge ng'ombe kwa maziwa glasi moja?

    Ok kama huyu mama sio
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

    cc kiranga;Mzee mwanakijiji;pasco
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sitategemea wahisani kuendesha serikali

    CC Faiza Fox ...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye maamri jeshi wawili na raisi wa jamhuri ya muungano hana sauti au mamlaka zanzibar?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

    Yupo anatoa ufafanuzi kama kawaida anasema ni jambo dogo limekuzwa tu....
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am 42 yeas old and finished

    Hongera kumbe unajua lol
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am 42 yeas old and finished

    Jamani huku ni jamii forum,soma na angalia wenzio wanavyoandika, mnakosa kazi kwa upuuzi kama huu ..
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am 42 yeas old and finished

    Mkuu umemaliza kila kitu na kwa kuongezea historia ya babu wa loliondo na letuz .....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Kuna vitu humu duniani vinashangaza, we unafanya biashara ya kulaza wageni, wateja wamekuja unataka kuwalazimisha watende unayofikiri wewe kitiu ambacho si sahihi kama issue ni kwenda mbinguni basi tusiburuzane mwache mtu ajipeleke akotaka kwa raha zake.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

    Hasa mabinti ni wadhaifu sana kwa wakaka ambao wanajifanya watanashati......rahisi sana kuwapa simu za ofisi jamaa wanajenga mazoea muda kukujua jina, unakaa wapi nk
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

    Mkuu pole sana mimi binafsi ni menusurika mara tatu, issue iko hivi anakuja jamaa anamdanganya huyo binti kuwa anakutafuta halafu amepoteza contact zako so huyo kijana anaitafuta kwenye phone book yake jamaa anatumia kila aina ya ujanja anaichukua hiyo simu then kwa haraka ana edit jina anaacha...
Back
Top Bottom