wakuu hali zenu.
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi ambao ni nyumba ya kulala wageni. mimi ni muumini wa dini mzuri ambaye singependa hii business iishie kwenye dangulo.
Naomba mnishauri kama inawezekana ukawa na halali business ambayo watu hawataitumia kwa short times pia kuja kujivinjari. ningependa walalao wawili wawe married but singependa kuwalazimisha waje na vyeti vya ndoa. pliz help if it is feasible and how can it be done?
nangu mahwelu
Hahaaaaaa Umeni furahisha hiyo per diem.
Mkuu hiyo kuzuia ni all most impossible.Utajuaje watu kama wana ndoa bila cheti? Na hawawezi kutembea na cheti.wewe bwana fanya biashara,kama umeingiza maswala ya dini then usifanye hiyo biashara.
Njia unayoweza kuzuia mfanyakazi asiibe hizo hela za short time ni kuweka CCTV cameras kwenye corridor then kila siku unaangalia muda mtu alioingia na kutoka.
thanks wakuu, nimeelewa ya kwamba impossible and not fair kuwazuia wagegedaji. Je kwa wale watu wa mungu hivi mtu akija akagegeda wakati wewe hujui utakuwa unahusika kwamba umefacilitate?
thanks wakuu, nimeelewa ya kwamba impossible and not fair kuwazuia wagegedaji. Je kwa wale watu wa mungu hivi mtu akija akagegeda wakati wewe hujui utakuwa unahusika kwamba umefacilitate?
sasa unataka ushauri gani wakati umeishajenga.
Hii biashara kama ni muumini wa mungu kivile bora uiache.
We utajuaje kama wanaokuja ni mke na mume.
Kwani hotel unavyojua wewe inatafsiri ya short time na long time?unampangia mtu muda wa kutoka au?
Kwa taarifa yako pale serena hotel au kempinski kuna watu wanaenda kwa short time na wala hawaoni hatari ya kulipia pesa ya normal room rate.
Yaani we hata upewe ushauri gani hii haikufai,we jiji la dar au mkoani nani hana kwake,sehem hizo nyingi ni watu kulana mambo tu.
Kuna wakati niliishi mabibo kuna mama mmoja mtu wa mungu sana alikuwa na guest,sasa jpili inakuwa imejaa sana,siku moja alitoka kanisani akanikuta nipo nje na mtoto akasema vipi pamejaa?tukamjibu ndio akasema basi vumilieni wanatoka wengine muda huu huu,kisha akamuuliza mfanyakazi wake kuhusu biashara.
Sasa we niambie guest house mabibo unategemea mgeni atoke arusha au kenya aje kulala hapo.wengi ni watu wa kuja kuuwa.na wengine wamepinda wanaweza kuwalamba hata hao wafanyakazi wako.
wakuu hali zenu.
Nipo kwenye mchakato wa kumalizia ujenzi ambao ni nyumba ya kulala wageni. mimi ni muumini wa dini mzuri ambaye singependa hii business iishie kwenye dangulo.
Naomba mnishauri kama inawezekana ukawa na halali business ambayo watu hawataitumia kwa short times pia kuja kujivinjari. ningependa walalao wawili wawe married but singependa kuwalazimisha waje na vyeti vya ndoa. pliz help if it is feasible and how can it be done?
nangu mahwelu
na wewe fungua io biashara mkuu