Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Status
Not open for further replies.
satire and coded. soma tu vizuri utaelewa anamaanisha nini

Huyu jamaa ana maneno makali na misamiati ila nimemkubali tu pale mwisho kumbe anajiunga na team mabadiliko, aisee karibu sana tena chukua na kadi kabisa tusaidie kuliondoa dudu fisiem hilo,

CC Andrew Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Inaeleweka.

Kwa vile it is incredible ndiyo maana yanatokea matatizo. Ukienda Mwitongo,utaona jambo la ajabu sana. Utaona nyumba kubwa Sana inalindwa. Ndani anaishi mtu mmoja tu Andrew.

Hao ndio walinzi wametoka katika geti, wamekuja ndani kunikamata.. Nieleze tena kinagaubaga. Watoto wanakuja kwangu, sare zimechanika,wengine wanatembea peku peku kweda shule.

Katika darasa moja watakuwepo at least
 
Inaeleweka. Kwa vile it is incredible ndiyo maana yanatokea matatizo. Ukienda Mwitongo,utaona jambo la ajabu sana. Utaona nyumba kubwa Sana inalindwa. Ndani anaishi mtu mmoja tu Andrew. Hao ndio walinzi wametoka katika geti,wamekuja ndani kunikamata.. Nieleze tena kinagaubaga. Watoto wanakuja kwangu,safe zimechanika,wengine wanatembea peku peku kwrda shule. Katika darasa moja watakuwepo at least

hapa nimeanza kukuelewa japo kwa umbali kidogo...
 
Dakika chache kabla ya Makamu wa Rais.Gharib Bilal kufika Mwitongo,wamefika wasichana watatu wa primary school kuniomba chakula. Nimechukua sahani niende kuwapakulia chakula,ghafla wamefika FFU,nadhani alikuwa FFU mmoja,amevaa bullet proof vest,kaondoka nao,kaenda kuwachapa viboko,watoto wananiambia wamechapwa fimbo kumi kila mmoja.Basi,na Miminimeondoka.nimenunua tiketi ya Dar. Kesho narudi Dar.Nimefukuzwa,nimeitwa mbakaji. Hapo mahali walikuwepo wageni wengi,lakini wamekuja hao polisi.ambao ndiyo wale wale waliotumwa kwenda Mwitongo mahsusi kwa kumlinda Andrew.Walikuwepo wageni,Makamu wa Rais,mawaziri kutoka Kenya,mawaziri kutoka Tanzania.Mawazo yangu kuhusu hili jambo.? Nataka Lowassa ashinde uchaguzi.

cc kiranga;Mzee mwanakijiji;pasco
 
Mimi namuelewa sana huyu kuliko lile jinga lilevi lililo na mdomo mchafu kama choo mzee wa kucheza chandimu
 
Kila darasa wapo at least watoto watano hawana viatu. Hiyo nimehakikisha leo. Lilikuwepo darasa moja pale limewekwa kuwapokea wageni . Wageni hawa wametoka Kenya,Burundi, wamekuja na Makamu wa Rais. Nikawaona watoto.watano au zaidi hawana viatu. Nikapendekeza kwa Mwalimu wao niwanunulie ndala. Nikamwona amehamaki.
 
Inaeleweka. Kwa vile it is incredible ndiyo maana yanatokea matatizo. Ukienda Mwitongo,utaona jambo la ajabu sana. Utaona nyumba kubwa Sana inalindwa. Ndani anaishi mtu mmoja tu Andrew. Hao ndio walinzi wametoka katika geti,wamekuja ndani kunikamata.. Nieleze tena kinagaubaga. Watoto wanakuja kwangu,safe zimechanika,wengine wanatembea peku peku kwrda shule. Katika darasa moja watakuwepo at least

Kweli sijaelewa hapo mwisho. Andika Stori vizuri Cc. Andrew
 
Kila darasa wapo at least watoto watano hawana viatu. Hiyo nimehakikisha leo. Lilikuwepo darasa moja pale limewekwa kuwapokea wageni . Wageni hawa wametoka Kenya,Burundi, wamekuja na Makamu wa Rais. Nikawaona watoto.watano au zaidi hawana viatu. Nikapendekeza kwa Mwalimu wao niwanunulie ndala. Nikamwona amehamaki.

Eheeeeeeee.........!!!!!
 
Labda niiweke pamoja na kuisoma na nione kama ntaielewa yote:

1. Dakika chache kabla ya Makamu wa Rais.Gharib Bilal kufika Mwitongo,wamefika wasichana watatu wa primary school kuniomba chakula. Nimechukua sahani niende kuwapakulia chakula,ghafla wamefika FFU,nadhani alikuwa FFU mmoja,amevaa bullet proof vest,kaondoka nao,kaenda kuwachapa viboko,watoto wananiambia wamechapwa fimbo kumi kila mmoja.Basi,na Miminimeondoka.nimenunua tiketi ya Dar. Kesho narudi Dar.Nimefukuzwa,nimeitwa mbakaji. Hapo mahali walikuwepo wageni wengi,lakini wamekuja hao polisi.ambao ndiyo wale wale waliotumwa kwenda Mwitongo mahsusi kwa kumlinda Andrew.Walikuwepo wageni,Makamu wa Rais,mawaziri kutoka Kenya,mawaziri kutoka Tanzania.Mawazo yangu kuhusu hili jambo.? Nataka Lowassa ashinde uchaguzi.
2. Inaeleweka. Kwa vile it is incredible ndiyo maana yanatokea matatizo. Ukienda Mwitongo,utaona jambo la ajabu sana. Utaona nyumba kubwa Sana inalindwa. Ndani anaishi mtu mmoja tu Andrew. Hao ndio walinzi wametoka katika geti,wamekuja ndani kunikamata.. Nieleze tena kinagaubaga. Watoto wanakuja kwangu,safe zimechanika,wengine wanatembea peku peku kwrda shule. Katika darasa moja watakuwepo at least

3. Kila darasa wapo at least watoto watano hawana viatu. Hiyo nimehakikisha leo. Lilikuwepo darasa moja pale limewekwa kuwapokea wageni . Wageni hawa wametoka Kenya,Burundi, wamekuja na Makamu wa Rais. Nikawaona watoto.watano au zaidi hawana viatu. Nikapendekeza kwa Mwalimu wao niwanunulie ndala. Nikamwona amehamaki.

4. Naishi peke yangu ndani ya nyumba,me,just one person. Kwa hiyo hakuna utata,hakuna confusion kuhusu mlinzi anapotumwa kuja pale kulinda. Kazi take anakuja kunilinda mimi. Sasa ni kazi gani hiyo waliyokuwa wanafanya walinzi ya kuwaokoa watoto nisiwape chakula. Nilikuwa nimeshika sahani wakatokea wale walinzi,wakasema hawa watoto wanatafutwa na wazazi wao. Tumetoka nje nimekuta wazazi hawapo. Basi huyu mlinzi anatafuta fimbo ya kuwachapa watoto. Mimi nikasema I must go to report this. Halafu nikasema,hapana,nitasubiri hapa nikuone unampiga mtoto. Nataka kujua nimwambie mini Chikawe. Kwa hiyo utaona kwamba hakuna jeshi pale,wale watu ni wahuni. Wanajeshi sheria zao kidogo sana. Ukishaona mwanajeshi unamtaja afande wake,hiyo mwanajeshi,basis ujue hiyo siyo mwanajeshi. Hiyo ni jambazi sugu.
5. Wameingia walinzi ndani ya nyumba wanasema wameona watoto wanaenda kwa Andrew.wanataka waende kuwakamata. Wale watumishi badala ya kusema mmewaona watoto wanaenda kwa Andrew,so what? Wale watumishi wameandana na walinzi kuja kunikamata .Basi,mimi nimeondoka. It is illegal kwa watumishi kunifukuza. But that is what has happened. Wataamka asubuhi and they will laugh about it,but it is illegal. Kwa ninsi ninavyozifahamu sheria za jeshi ambazo nimesema zipo kidogo sana,20 au 30,what they have is treason,high treason
6.
Mimi nimekata tiketi nakwenda Dar kesho. Butiama nimeshaondoka,nimeshafukuzwa. Sasa nipo guest house Musoma,asubuhi narudi Dar. Kuhusu kama litawadhuru CCM,mimi bado sijaongea na syndicate.

  • 7. Sijaongea na syndicate.
 
Naishi peke yangu ndani ya nyumba,me,just one person. Kwa hiyo hakuna utata,hakuna confusion kuhusu mlinzi anapotumwa kuja pale kulinda. Kazi take anakuja kunilinda mimi. Sasa ni kazi gani hiyo waliyokuwa wanafanya walinzi ya kuwaokoa watoto nisiwape chakula. Nilikuwa nimeshika sahani wakatokea wale walinzi,wakasema hawa watoto wanatafutwa na wazazi wao. Tumetoka nje nimekuta wazazi hawapo. Basi huyu mlinzi anatafuta fimbo ya kuwachapa watoto. Mimi nikasema I must go to report this. Halafu nikasema,hapana,nitasubiri hapa nikuone unampiga mtoto. Nataka kujua nimwambie mini Chikawe. Kwa hiyo utaona kwamba hakuna jeshi pale,wale watu ni wahuni. Wanajeshi sheria zao kidogo sana. Ukishaona mwanajeshi unamtaja afande wake,hiyo mwanajeshi anapiga miayo,basi ujue huyo siyo mwanajeshi. Hiyo ni jambazi sugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom