C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 166
Ungemuuliza kitakwimu ni milimita ngapi q ili ujue anajua au ni bigwa wa maigizo,
Tulia dawa iingie we magamba
Ungemuuliza kitakwimu ni milimita ngapi q ili ujue anajua au ni bigwa wa maigizo,
Unawezaje kujua unatakiwa kufanya nini bila kujua ni kwa kiwango gani na waitaji ni kiwango gani?unajua maana ya takwimu?
Kwa vipi hata kufafanua hawezi? Siasa za prof j
kwan wa kwanza yeye? mbona mzee nyerer alxhatumia mfumo huo lkn mbna ulmuxhnda kabxa mpaka akamuuzia nchi mzee wa ruksa?
fkria bana
Lowassa full fix!
lowassa na ccm ni nani mwana maigizo? Taifa kwa miaka 50 limeshindwa kuondokana na utegemezi?
Sasa kati ya lowassa na ccm ni nani mwana maigizo? Tumia akili kijana wacha ushabiki.
Taifa lina angamia tembo wanatoweka. Twiga wanapanda ndege?
Madini.milima.mbuga za wanyama.gesi. Na nyinginezo nyingi lakini bado taifa ni omba omba?
Narudia tena. Nitamtafutia lowassa kura usiku na mchana. Atuondolee aibu ya kuwa taifa omba omba.
Bajeti ambayo inapelekwa asilimia 24 kwenye miradi na matumizi mengineyo kwa mwaka mzima alafu unasifia? Kumbuka hiyo 24% ni hela za ndani na za wahisani, nchi hii kwa namna inavyoongozwa na CCM ......Lowassa amesahau kuwa hiyo ni sera ya Jakaya toka anakamata madaraka, tulikuwa tunategemea wahisani kwa asilimia 69 ya bajeti alipochukuwa madaraka, bajeti ya mwaka huu ni asilimia 8% tu na ya mwakani tulishatangaza, itakuwa ni yetu 100%.
Huyo Mzee ana ugonjwa wa kusahau na ni muongo wa asili.
Mkuu siwezi kumpa maana uweze wake wa akili anaouonesha ni aibu kwenye taifa LA wasomiSubiri utekelezaji tu mkuu ila mpe kura yako
Lowassa amesahau kuwa hiyo ni sera ya Jakaya toka anakamata madaraka, tulikuwa tunategemea wahisani kwa asilimia 69 ya bajeti alipochukuwa madaraka, bajeti ya mwaka huu ni asilimia 8% tu na ya mwakani tulishatangaza, itakuwa ni yetu 100%.
Huyo Mzee ana ugonjwa wa kusahau na ni muongo wa asili.
Siwezi kumvisha koti LA mabadiriko MTU ambaye amekaa bungeni miaka 7akiwa bubu adi roho inaniuma kama si mzarendo wa kweli,Bajeti ambayo inapelekwa asilimia 24 kwenye miradi na matumizi mengineyo kwa mwaka mzima alafu unasifia? Kumbuka hiyo 24% ni hela za ndani na za wahisani, nchi hii kwa namna inavyoongozwa na CCM ......
Tukubali mabadiliko nje ya CCM ujivunie Utanzania wako.
bajeti ya maneno? Ivi unajua kwa zaidi ya miaka yote bajeti inayoletwa bungeni ni hewa?
Kama nchi sio tegemezi Bwana mkubwa kila siku kwanini anatembeza bakuli kwa waisani?
Hata fedha za uchaguzi nazo nasikia tumepewa na waisani? Nchi tajiri kama Tanzania?
Ama kweli kuna mtu ametuloga watanzania. Katikati ya utajiri wa kutisha tunatembea kwa kupapasa kama vipofu?
Lowassa amesahau kuwa hiyo ni sera ya Jakaya toka anakamata madaraka, tulikuwa tunategemea wahisani kwa asilimia 69 ya bajeti alipochukuwa madaraka, bajeti ya mwaka huu ni asilimia 8% tu na ya mwakani tulishatangaza, itakuwa ni yetu 100%.
Huyo Mzee ana ugonjwa wa kusahau na ni muongo wa asili.
Lowasa ndo mwanacomed kama ifuatavyo
1,lowasa. Miaka35 ndani ya serikali.
2,na ccm miaka 50,madarakani
Chukua ya ccm to a ya lowasa ndo utajua maigizo yake
Watanzania ni mda wa kujitambua na kuachana na story xa ccm ebu tujaribuni na kwingine hivyo kura zote ni kwa lowasaaaa
Kwa vipi hata kufafanua hawezi? Siasa za prof j