I am 42 yeas old and finished

I am 42 yeas old and finished

Thank you all
10491093_327148600776646_8610393368414684361_n.jpg
 
sijaelewa hapa tukusaidie nini? nyumba, mke au sumu ufe kabisa?

''This is a lesson to younger ones''

Ulipaona hapo?.. he brought a lesson to us, and thats what i can say its a key point..
 
mimi mbona nahustle na watu wenye miaka zaidi ya 50 na wako full confident there going to win the game?

akili hizi hazifanani na mtu mwenye miaka 42, ninachoweza kumsaidia tu asome kwanza historia ya lary king aliyekuwaga CNN na kipindi chake cha Larry king live atajifunza mengi kuliko nitakayoyaandika hapa.

shida yetu watanzania hatupendi kusoma vitabu na historia za watu maarufu waliotoka from zero to hero.

hivi mnajuwa kwamba Steven wassira alishachoka ni huruma tu ya mama maria nyerere alimwambia jk urais utapata ila nakuomba usimuache wassira? huyu jamaa jamaa alishafikia hatuwa ya kuwa mbeba mikoba ya mawakili imagine he came back to the game with full confidence na sasa anaamini katika ccm yeye ndio anayo sifa ya kuwa mgombea urais wa chana chake?
 
Duh,si nasikia Mh.Steven Wasira alisoma ughaibuni elim ya juu na alikua kichwa sana hadi serikali ikamuhitaji.
 
Huu uandishi wako uwache huko huko Facebook ukija hapa nyoosha maelezo hapa siyo hostel wala campus.

i av a ryt 2 write anyhow i want & u r no body 2 tel me how i should ryt,it seems u r illetrate just y u cnt even understand wat has bn written & by da way am nt in any group which u av just mentioned so u can just go 2 heal
 
labda nikitumia kiswahili ndio utanielewa,ulizoea kukariri shuleni hadi hapa unaleta kukariri kwako,kwamba kila anaefupisha maneno ni mwanachuo,ndio walikuzoesha kukutumia msg za hivyo eeh?unaacha kujadili mada unapekuapekua comment yangu,si bure unanitaka wewe
 
mimi mbona nahustle na watu wenye miaka zaidi ya 50 na wako full confident there going to win the game?

akili hizi hazifanani na mtu mwenye miaka 42, ninachoweza kumsaidia tu asome kwanza historia ya lary king aliyekuwaga CNN na kipindi chake cha Larry king live atajifunza mengi kuliko nitakayoyaandika hapa.

shida yetu watanzania hatupendi kusoma vitabu na historia za watu maarufu waliotoka from zero to hero.

hivi mnajuwa kwamba Steven wassira alishachoka ni huruma tu ya mama maria nyerere alimwambia jk urais utapata ila nakuomba usimuache wassira? huyu jamaa jamaa alishafikia hatuwa ya kuwa mbeba mikoba ya mawakili imagine he came back to the game with full confidence na sasa anaamini katika ccm yeye ndio anayo sifa ya kuwa mgombea urais wa chana chake?

Mkuu umemaliza kila kitu na kwa kuongezea historia ya babu wa loliondo na letuz .....
 
i av a ryt 2 write anyhow i want & u r no body 2 tel me how i should ryt,it seems u r illetrate just y u cnt even understand wat has bn written & by da way am nt in any group which u av just mentioned so u can just go 2 heal

Jamani huku ni jamii forum,soma na angalia wenzio wanavyoandika, mnakosa kazi kwa upuuzi kama huu ..
 
labda nikitumia kiswahili ndio utanielewa,ulizoea kukariri shuleni hadi hapa unaleta kukariri kwako,kwamba kila anaefupisha maneno ni mwanachuo,ndio walikuzoesha kukutumia msg za hivyo eeh?unaacha kujadili mada unapekuapekua comment yangu,si bure unanitaka wewe

Hongera kumbe unajua lol
 
mimi mbona nahustle na watu wenye miaka zaidi ya 50 na wako full confident there going to win the game?

akili hizi hazifanani na mtu mwenye miaka 42, ninachoweza kumsaidia tu asome kwanza historia ya lary king aliyekuwaga CNN na kipindi chake cha Larry king live atajifunza mengi kuliko nitakayoyaandika hapa.

shida yetu watanzania hatupendi kusoma vitabu na historia za watu maarufu waliotoka from zero to hero.

hivi mnajuwa kwamba Steven wassira alishachoka ni huruma tu ya mama maria nyerere alimwambia jk urais utapata ila nakuomba usimuache wassira? huyu jamaa jamaa alishafikia hatuwa ya kuwa mbeba mikoba ya mawakili imagine he came back to the game with full confidence na sasa anaamini katika ccm yeye ndio anayo sifa ya kuwa mgombea urais wa chana chake?

Dah, mkuu hapa panaelimisha sana, maisha kweli ni jinsi unavyo-hustle bila kujali umri.
Tatizo letu kuu sisi wabongo ni kwamba hatujishughulishi!

Mkuu asante kwa article hii.. Delegates pitia hapa!
 
Last edited by a moderator:
@ delegate mkuu wala usikate tamaa kabisa coz bado unanafac kubwa yakupambana na maisha haya.Kiumri bado unadai kabisa yan unanafas kubwa sana coz ndo kwanza unamiaka 42.Ngoja nikupe mfano wakweli ambao unamhusu Anko wangu,Anamiaka 55+watoto wa5 ila bado anapanga na ukizingatia kwasasa hana kazi,pia hana hata Baiskeli,mkewe ambae walikuwa wanasaidiana kimaisha amefariki toka 2012 na mpaka sasa hajaoa tena.Kiufupi maisha yake ni magum ila Hajakata tamaa hata kidogo.SO USIKATE TAMAA COZ UMRI BADO UNARUHUSU UZA GARI FUNGUA BIASHARA NZURI FANYA.PIA USICHOKE KUTAFUTA KAZI.
 
You reap what you sow....ukaacha kazi, ujaoa kwa sababu umenunua gari au kwa sababu hauna kaz? Uliacha kaz ili ununue gari au uzae?!!
 
Kuua mtu sio mpaka unyanyue mkono na kumpiga au umnyweshe sumu,hata maneno yako yanaweza kuua.Mtu amekuja na shida baadhi mnapiga nyundo za kichwa bila huruma,je angekuwa mtu wako wa karibu mngemsimanga kiasi hiki au mngemshauri kumpa msaada na faraja,kuweni na utu na mpunguze ukatili.psychological torture aliyonayo msiiongeze.
 
This is a lesson to younger one. Tafadhali nashindwa kujieleza kwa kiswahili, this is real.

Iam a proffesional male who left work when i was 40, in order to pursue something kama watanzania wengi tunavyofanya. But now i just realize it is beyond my capacity.

I now think I made a mistake and have made things worse, I am not married but i have children with two different women who are married with other guys. I dont have house but i have a car, in general i feel like I am finished.

I feel like I am on an empty journey... I feel miserable and frightened.

THIS WORLD IS NOT FAIR!

acha kulialia mtoto wa kiume, kama kweli uko serious umekutwa na hayo hamisha hii thread peleka jukwaa la uchumi tukakusaidie. we unaleta thread serious kama hii kwenye jukwaa la mapenzi?!!!...au unataka sympathy ya vidosho waliokusaidia kutafuna mtaji?!! hold on,you are not done till you are dead, hamisha huu uzi kwanza.
 
sijaelewa hapa tukusaidie nini? nyumba, mke au sumu ufe kabisa?

Mie nilivyo muelewa jamaa anamainisha ameamlizika kabisa hawezi tena Jongoo hapandi mtungi ,amefika mahali anajitaji mtu wa kumshuhulikia ili asikose kote kote ,isipokuwa ujumbe wake ameutowa kimafumbo kama vile mafumbo yanayokuwepo kwenye kanga
 
aiseeeee!!!
 
Had a brother who got married at 43, and got his 1st kid at 45, so you are not that late
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom