Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Wana jamii tanzameni itv kamanda kova anafafanua kuhusu tukio la panya road,
 
Yupo anatoa ufafanuzi kama kawaida anasema ni jambo dogo limekuzwa tu....
 
huyu ameacha kazi yake ya upolisi amekuwa mwanasiasa! baada ya kudeal na hao washenzi yeye anazunguka kwenye vituo vya televisheni kuuza sura! AMESHINDWA KAZI HUYO KWANI UKIONA MTU ANAONGEA SANA UJUWE AMESHINDWA KAZI
 
Atakuwaje ITV muda huu? Ungeniambia anaongea toka eneo la tukio ningeelewa.

Huyu kamanda hafanyi kazi kijeshi yeye no mwepesi sana kukimbilia kwenye vyombo vya habari na maranyingi kukanusha!juzi nilimsikia kwenye redio yule zungu la unga kwamba alijeruhiwa kwa risasi akafia hospitali wakati kila mtu aliona jamaa alivyopigwa risasi ya shingo na kufa palepale,sintoshangaa akikanusha kuhusu panya road!eeh mola tusaidie
 
Hivi ingekuwa wanasiasa wanaandamana angesema jambo dogo! Anapenda sana kuonekana kwenye luninga! Kama mchapa kazi kweli sasa hivi angekuwa eneo la tukio na siyo kuuza sura! Haiwezekani wahuni wa mtaa watawale wakati kuna vyombo vya dola! ​huyu kova ameshindwa kazi!
 
kwani ITV ni telvision ya taifa? iweje aende itv wakati kuna chanel ya taifa TBC?
 
hivi waandishi wa habari hakuna? ni jambo la kushangaza katika jiji lenye kila kitu taarifa zinakuja nusu nusu. kova kama kamanda alipaswa kutoa taarifa zake akiwa katika eneo la tukio lakini badala yake anakimbilia kiyoyozi. inajulikana hakuna serikali inayoweza kukiri udhaifu ila kwa jambo hili wameshusha hadhi ya polisi.

mbona wale vijana watatu walienda eneo la tukio na wakaripoti kule kule.
 
nilijua tu .. Swala la panya road ni wananchi wamezusha .. watanzania waoga . Na ni hataru wanaweza take advantage
 
Ni kweli ametowa ufafanuzi lkn amekanusha tukio la kuwepo kwa panya road na amesisitiza kuwa vurugu zilitokea magomeni kwenye msiba ambazo ndio chanzo cha talizo
 
Ningekuwa Kova ningeshajiuzulu. Total failure.
 
mpumbavu sana watu wameshapata hasara wengine wamepigwa yeye yupo studio anaongea kwa kiburi muda wote alikuwa wapi mimi sina muda wa kumsilikiliza huyu kova ni porojo tuu
 
hao panya tu yuko hoi sasa vp wangekuwa mbwa mwitu
 
Back
Top Bottom