Ni article nzuri sana, lakini angalia upande mwingine wa shillingi. Mazingira ya nyumbani ni frustrating, hata mtu angekuwa na PhD 20 baada ya kurudi tanzania ni lazima PhD yake itaota kutu. Nchi ambayo haina sera chanya za kuleta maendeleo unategemea wasomi hao wangefanya miujiza bila...
Wabunge wa Chadema siyo yes Men, kwa watu wenye mawazo mgando wataona wanafanya vibaya kumbe wanapambana na udhalimu wa speaker na naibu wake pamoja na wabunge wa CCM ambao kazi yao ni kuchapa usingizi bungeni.
Ndugai pamoja na speaker mwenyewe wote ni inferior, wamewekwa pale kutetea maovu ya serikali ya chama tawala. Sasa kwasababu wanazidiwa kihoja na wabunge wa Chadema kazi yao ni kujihami kwa kuwatoa kwenye vikao vya bunge. Kwa kifupi nikueleze kuwa hajiamini.
Pole sana kwa kukurupuka, hotuba ya Lema inakubalika sana kufuatia maoni yaliyotolewa na watanzania kwenye mitandao mbali mbali kote duniani. Sasa sijui wewe ndugu unaishi duniani gani? Naibu waziri wa serikali iliyo paralize atawaeleza nini watanzania makini wenye uchungu na nchi yao.
Mizunguko ya Nape kwa nchi nzima haina tija zaidi ya kuchezea pesa ambazo wangeweza hata kununua madawati. Nape si mtu makini zaidi ya kufanya ushabiki na kueneza propaganda za chuki dhidi ya wapenda maendeleo.
Unayejiita Genius Brain ondoa chuki binafsi na Nova Kambota! article yake inaongelea ukweli wa mambo yanayojiri pale bungeni, sasa ulitakaje wewe? atetee maovu. Badili hilo jina la Genius Brain, maana haifanani na hoja yako dhidi ya Kambota.
Lusinde kuwa mwangalifu na kauli zako, sijuu CCM ni chama cha waliolaaniwa, wabunge wa CCM wanafanya kazi kwa unafiki, woga na kuabudu viongozi na wala si kuwatumikia wananchi waliowatuma bungeni.
He will never do that, in fact Maggid is a writer but a very tricky one with his hidden agenda, better Issa Michuzi who is straight foward! To be honest Maggid is typical writer of Michuzi type, the only difference is that he is not brave enough to reveal himself.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.