Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

by daway who is nyerere? Si mtu kama mim wewe vipi sio kila aliosema yeye ni sheria mengine aliongea kwa interest zake binafsi.na chuki zake za kizanaki hasa kwa mtu aliyeona atamfunika nani asiyemjua huyu dikteta na mroho wa madaraka
<br />Akuna cha chuki binafsi alipewa nafasi kuutolea ufafanuzi utajili wake lakini alishidwa
<br />
 
Maono [vision]ni kitu kizuri sana kwa kuwa kinakutayarisha kuwa na mkakati wa kupanga mambo yako yaendeje na kuweka mbinu na nyenzo za kuyakabili.

Mdau huyu kwake nilikua napenda ile uthubutu wake [Aggressiveness].Hakika kwenye engo hiyo huyu jamaa ni full.Na moja ya ya nguzo za kiongozi ni kuwa na uthubutu.

Hofu yangu ni uosefu wa maono [vision],uvumilivu [torelance],uadilifu [integrate],nidhamu na ubunifu.

Kama angelelijua kipindi kile Taifa limeanza kuwa na Maswali yasiyo na majibu kuhusu Richmond na Dowans ilikuwa wakati mzuri wa kwenda pembeni na kukaa kimya na kujipanga pale alipojihudhuru uwaziri mkuu.Ingekuwa kitu kizuri sana kwake kisiasa kwa kuwa hata Mzee Mwinyi alipitia purukushani hizo kwa namna yake.Lakini alipoludi watu walimpokea na unakuwa umeitendea HAKI ASILI [NATURE].

Lakini unganganizi wake umetia athari kubwa sana kiasi kuwa umeibua Maadui na sifa nyingi hasi [Negative dhidi yake] Japo watu hawana ushahidi lakini wengi wa watanzania wanao ushahdi ambao ningependa kuita ushahidi wa Kitanzania Mitaani.Na Ushahidi huo uwa ni HATARI SANA.Kwa kuwa moja ya TAMADUNI amabyo uwa inaniacha hoi ambayo uwezi kuipata popote dunia ila Tanzania ni tabia ya uvumlivu ya Watanzania.

Kwa kuwa Tuhuma za Mheshimiwa Huyu zinaonekana ushahidi haupo,lakini anavyonganganiza kwa mbinu na maalifa yake na wafuasi wake kutaka madaraka ndivyo watanzania wanavyomtayarishia Mabomu ya kumthibitishia kuwa yeye hafai na kuwa hayo wanayomtuhumu nayo taarifa zake wanazo.Angekuwa na busara kipindi kile akakaa pembeni Watanzania ni watu wenye huruma ungekuta wamejua machache dhidi yake wangemuone huruma na kumuona ni mtu mwenye uvumilivu.Kukosa uvumilivu kwake kumepelekea watambue mambo mengi sana kama vile ni Nyumba ngapi anamiliki,Mashamba,Supermarket,Shule,Makampuni,Nyumba za kupangisha,Magari n.k.Yote haya wananchi wa kawaida wasingejua kama si kweli au ni kweli kwa kuwa angekuwa ameepuka malumbanao.[Out of face out of Mind].

Kwa sasa hivi its too late kwake,japo guts zake zaidi zinamtengenezea maadui wake yeye na familia yake kuwa kwenye hatari kubwa sana.Asipumbazwe na mtandao wake aliounda Tanzania ni moja ya Nchi ambayo wakati Mwingine upepo wake kisiasa ukikosa uvumilivu na uungwana wa kujihoji nafsi ya binafsiinauwezo wa kukuaibisha.

Na hakika kama kuna mtu alikuwa ana nafasi nzuri ya kuwa Raisi Mwaka 2005 alikuwa Ndugy Sumaye kwa kuwa alikua waziri Mkuu hivyo Kiserikali alikuwa na Mtandao Mkubwa sana wa Kiserikali lakini ndio kama hivyo Urais aliusikia kwenye Bomba ambako yeye Lowasa alishiriki kumfanya SUMAYE ahusikie URAIS huo kwenye BOMBA ukiwa na JAKAYA.What goes around comes around,kwa lugha nyingine ingependeza akava viatu vya LOWASA,SALIM MOHAMED SALIM na WENGINEO.

Kwa kuvaa viatu vya hao majeruhi wake hao wa uchaguzi uliopita mwaka 2005 anaweza kuona ni jinsi gani anajiua sana kisiasa na kuwaweka wafuasi wake na mashabiki wake kwenye kaa la moto la kushindwa na kuangamia vibaya kisiasa hivyo kuweka mazingira mabaya kiamapokea kwake yeye na familia yake kwenye umma.

Speech yake ya kujiudhuru ikuwa na bashasha "there is a wish am going to grant...,tatizo ni Uwaziri Mkuu". Ulikuwa wakati mzuri wa kuwapisha japo kwa miaka kumi kisha wenye akili akiludi wanaona ni jinsi gani alivyokuwa na umuhimu kwa Taifa.[U cant understand the value of it untill you loose it]

Mimi na amini sana sana kuwa URAIS wa TANZANIA HAUJITAFUTI,UNAKUTAFUTA, angewafuata MARAIS WASTAAFU MWINYI NA MKAPA awaulize walifikaje kuwa MARAIS.Japo yeye anaamini kuwa alimuweka KIKWETE lakini UKWELI SIO yeye alichofanya ni kusimamia MIKAKATI kwa kuwa CHINI YA CCM mara nyingi tena kwa zama hizo hakuna liliokuwa linashindikana.Mfano wakati Kikwete anchaguliwa mimi nilikuwa Shule lakini Bado alikuwa ni chaguo langu toka moyoni kabla sijapoteza matumaini yangu kwenye utekelezaji wake.

Huwa nashindwa kujua kiongozi kama huyu Mheshimiwa inakuaje anajiona kama kuwa ndani ya Watanzania Milioni 40.7 Watakosekana Watanzania elfu mbili kuthibitisha kujua vibwanga vyake mitaani.Inakuwaje hili wanajamvi nisaidieni?
 
kwa wale wanaofikiri kwa kutumia kichwa lowassa atakuwa Rais wa 2015 na kwa
wale wanaofikiri kutumia makalio wao wanaendeleza siasa za makundi na kutagoganisha
wanasema lowassa hafai kuwa rais wanae mtu wao watuambie nani anafaaa kama awana
basi wapeleke tuuu akili hizo sehemu husika toilet kwani ndiyo sehemu yake watakuwa hawana
hoja ya msingi zaidi yakuwa washabaki wa ccj na mawazo mgando tunataka mtuambie huyu
afai nani anafaaa ,tuambie huyu afai kwa sababu gani ?na kafanyia nini ?na wapi? je fisadi
kafaniyia nini ?siyo kudandia hoja tuuu bila ushaidi ,

tunasema ngamia mzeee na uzeee wangu miaka 89 sijaona ndani ya ccm mchapaka kazi
na mtu makini kuliko Edwad ngolai lowasssa kazi alizofanyia zinajulikana kwa watanzania wenye
macho na miradi kama ya maji shinyanga ,shule za kata ,city water ,mambo mengi sana
alidhubutu kuwaambia wamisri egypt kuwa maji ya mto nale ni yetu zote na kapambana
mwanza shinyanga wana maji hayo ndiyo maamuzi ya wanaume magumu waarabu wakaja
juu wakaambiwa haya maji lazima watanzania wayanywe ,siyo mambo ya jikoni ya kina
sitta na nape huyu jamaaa hakuna ubishi kama ni mapungufu tu ni yakibinadaam ni
mwanaume wa shoka mwenye msimamo dhabiti.

tanzania inataka watu kama hawo siyo malofa wakucheka cheka mwanaumeeeee
pambana na simama na jipange sawa sawa .

kikupacho raha na uchungu kitakupa ,

 
maono ya huyu baba askofu yako sawa si ndiyo
walisema kikwete changuo la Mungu maaskofuuu

baba askofu naomba unikumbuke ngamia mzeee na mimi nipate
angalau uwaziri wa mifungo niangalie wanyama wenzangu huku
porini asante baba askofu katika hiyo serekali uliyotabirii ,
 
Kiukweli kuna marais wengi hilo halina ubishi...so kwa lowassa kuwa raisits possible...bt rais wa nn ndo swali la kujiuliza may be atakuwa rais wa wenye nywele nyeupe thats one....
Two...under ccm every thing z possible...akiingia nec atapita kwa pesa na kama hii tume ya uchaguzi itakuwa bado katika muundo wa sasa watanzania tuhesabu maumivu....changes will only be possible under new constitution...believe or not..
 
Kiukweli kuna marais wengi hilo halina ubishi...so kwa lowassa kuwa raisits possible...bt rais wa nn ndo swali la kujiuliza may be atakuwa rais wa wenye nywele nyeupe thats one....<BR>Two...under ccm every thing z possible...akiingia nec atapita kwa pesa na kama hii tume ya uchaguzi itakuwa bado katika muundo wa sasa watanzania tuhesabu maumivu....changes will only be possible under new constitution...believe or not..
 
manabiii wa uongo, mara mwisho wa dunia , mara lw atakuwa rais , haya na tusubiri huo muda .
 
Utabiri ni jambo zuri tu na ni kibiblia ,lakini si vizuri kutoa maagano na watu unaowafikishia ujumbe kuhusu wafanye nini endapo unabii hautatimia.Nabii hana haja ya kuwashawishi watu juu ya usahihi wa unabii wake.Jambo litakalofanya watu wamwamini au wasimwamini nabii na unabii wake ni KUTIMIA AU KUTOTIMIA KWA JAMBO ALILOTABIRI!
 
lowasa atagombea chama kipi 2015? cdm hatumtaki kabisa na ccm bado kwake si shwari ... je amehamia nccr kimya kimya?
 
Nenda kamwambie huyo askofu ajiue mwenyewe, sisi sio wauaji anataka kuwapa watu mada kesi kwa ushabiki wake.
Haituhusu kwanza.
 
hata mi mniuweeee.bora ya lowassa kuliko kilaza membe na likiazi pinda
 
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!

DUH, INGEKUWA SHEKHE KASEMA IVYO TUNGESEMA HAJASOMA, NJAA ITAMUUA, ANAONGOZWA NA MAPEPO; HUYU Aliyesoma na anaeongozwa na MIUNGU mbona hatukejeli na kumtolea kauli za dharau INGAWA KAULI YAKE HATUIPENDI KABISA. MKUKI KWA NGURUWE
 
DUH, INGEKUWA SHEKHE KASEMA IVYO TUNGESEMA HAJASOMA, NJAA ITAMUUA, ANAONGOZWA NA MAPEPO; HUYU Aliyesoma na anaeongozwa na MIUNGU mbona hatukejeli na kumtolea kauli za dharau INGAWA KAULI YAKE HATUIPENDI KABISA. MKUKI KWA NGURUWE

Kama vipi anza wewe kukejeli kama unavyodhani inafaa na itakusuuza roho yako.
 
duh, ingekuwa shekhe kasema ivyo tungesema hajasoma, njaa itamuua, anaongozwa na mapepo; huyu aliyesoma na anaeongozwa na miungu mbona hatukejeli na kumtolea kauli za dharau ingawa kauli yake hatuipendi kabisa. Mkuki kwa nguruwe
kuwa mpole makafifiri ndo tulivyo.
 
Back
Top Bottom