Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

hivi huyu dogo ni nani? Lusinde? Matapishi yeye ndiye kiazi,

nilimuona anaanza kuchangia nikaondoka kwenye luninga kwa sababu ni matapishi
Nilitegemea pumbaanapokuwaga mwenyekiti jamaa anaonyeshaga ushabiki wa kiccm laivu,..kaongea pumba kuanzia mwanzo hadi mwisho,..hivi unapokuwa mwenyekiti wa bunge kuna posho ya ziada unapata??labda analipa fadhila...ila chiku kawachana kinoma,..mama anajiamini yule..

Hawezi kuwa na mawazo chanya kwani ubongo wake sehemu kubwa umejaa makamasi.

Eti ni nani kamtoa mwingine nishai bungeni, ni Simbachawene au yule yule PAKACHAWENE tunayemfahamu sote undani wake hadi upenuni mwa nyumba yake.

Ni matumaini yetu kwamba kamwe hatopendezewa kuanikwa hapa kila uchafu wake hadi vile vya uvunguni. Hebu ngoja tumpe muda kidogo!!!

Mkuu weka upupu wake hapa tumtie adabu mana amezidi na kauli za kejeli dhidi ya CDM na hawa wenzetu hawa wawakilishi wa majimbo ya Dom ngoja ifike 2015 tutiane adabu vzr huku anakowakilisha

Hivi ni kweli simbachawene kasomea sheria?? Mbona mweupe sana.! Amejishusha mno.!

Kwa mchango wake leo hakika kama ana elimu hiyo mama weeeeeeeeeeeh imekula kwake hiyo

Akili zake ndogo sana, kwa wanachofanya wataanza kujificha hawataonekana mtaani. Walaaniwe CCM, na vizazi vyao vyote.

Ndugu zangu wa jf najua serikari kandamizi ya ccm unaendelea kutunyonya live huku wakiendelea kuteteana kwakweli wanaudhi, lkn naona ni busara 2kapunguza jazba tunapo jadili!

Haiwezekani habari ikawekwa kwenye headline au muhtasari lakini kwenye habari kamili ikakosekana, na ieleweke muhtasari wa habari husomwa takribani 30 secs kabla ya kusomwa kwa taarifa ya habari, labda ni kosa la kiufundi.

Dr Slaa afanye semina elekezi kwa wabunge wa CDM! Ni aibu!

Badilika mkuu usipende kushabikia vitu ambavyo havina mantiki,semina elekezi ipi kwako unaona inafaa? Upuuzi wa wenyevit wa bunge unauona wewe au unajisemea tuu? hauoni CDM wanavyokandamizwa? You have to control ua mind

akichangia hoja bungeni,simbachawene awapongeza polisi kwa kuua waandamanaji eti wasingefanya hivyo nchi ingeingia kwenye machafuko
aponda sera ya kutokuwepo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
asema hata watu wanaouawa kwenye maandamano hawana majina(akimaanisha viongozi hawauliwi)
awatahadharisha wananchi wataendelea kuuawa wakienda kwenye maandamano
UBUNGE SIKU HIZI UNANUNULIWA, UKIWA NA FEDHA HATA KAMA HUNA UWEZO UNAWEZA UKAWA MBUNGE NA KAMA NI MSHIKAJI NA RAISI UNAWEZA UKAWA WAZIRI... kweli hii ni kauli ya mwakilishi wa wananchi.. MBONA AMEZUNGUMZA KAMA ANA MAMLAKA KAMA WAZIRI... anajua kazi yake kama mbunge... kuna haja ukichaguliwa kuwa mbungu uende chuo ukajue majukumu yako

chiku abwao awachana live bungeni mrema na cheo(cheyo)"hivi kweli utasema mrema na cheyo ni wapinzani?"mwenyekiti akamtaka kukaa chini na kumuonya eti anavunja kanuni,...angekuwa ndugai angemtoa nje...

Hakuna wa kurudi kwenye chama cha magamba! Uvuaji magamba ni mbio za panya sakafuni, Nape kazi yake ni kuropoka afadhali ya Yusuph Makamba.

Lusinde aliomba mwongozo baada ya Chiku kuzungumza, Chiku aliongea kwa namna ambayo wabunge wa CCM walijiona kama uchaguzi ungekuwa kesho pengine ni Zambi tu ndie angechukua jimbo wengine wote wangekuwa chali! Ili kulinda heshima aliomba mwongozo huo kijanja....katika wabunge wote wa CDM mimi namfagilia sana Mh Mnyika, hana jazba anaunda hoja na anajiamini, alidhulumiwa ubunge 2005 lakini 2010 ilibidi wananchi kulinda kura

Kwanza wabunge wangehoji kwanini kwenye majimbo ambayo CDM ilichukua uongozi kulikuwa na haja ya raia kulinda kura ? Maeneo kama Mwanza,Kawe,Ubungo,Shinyanga (japo alikosa ) kwa shibuda japo aling'atwa na nyuki bado akagangamala kulinda kura, kwa msigwa..yaani ni dalili tosha ya mchezo mchafu!!

Nimependa statement 'kama maandamano yanaleta umaskini, mbona miaka 49 bila kuandamana hatukupewa maendeleo?'

Hapo sasa kawachana cdm au kamponda mwenyekiti wake kiaina?
Uwe unausoma kwanza mchezo kabla ya kukurupukia hoja

mama Chiku Abwao ameongelea mambo mengi sana, la kwanza maandamano amesisitiza kuwa maandamano ya CDM yanaungwa mkono na watu wa rika lote kwa kuwa yanawaamusha na kuwasemea wanyonge. akaonya kuhusu kejeli ya magamba kuhusu maandamano na kusema mbona na nyie mmeunga tela kwa kuandamana Mbeya na sisi CDM hatujawakejeli?ameonya serikali kuwa iliridhia mfumo wa vyama vingi ila inaongoza nchi kwa watisha wananchi hasa wa upinzani na akasema ndo sbb leo wabunge wa upinzani walokuwepo bungeni mwaka 1995 pamoja naye hawapo,wamekata tamaa na kurudi ccm na wachache walobaki ni mawakala wa ccm kama Mzee mrema(akaonywa na m/kiti asitaje majina) ila ujumbe ulikuwa umeshafika. akairudia rudia hotuba ya Mh Lema(soma thread ya hotuba ya lema) na kuitia nguvu zaidi. Akawaonya magamba kuwa nchi haitatawalika kama CDM wakikosa uvumilivu na akawaonya tena viongozi kuwa kama wataendelea hivi wananchi watawazomea popote wapitapo na maandamano yatazidi zaidi na wananchi wameamka ndo maana wanawaunga mkono. kuhusu wabunge wa ccm kusimama na kusema wananchi watawahukumu 2015, akasisitiza hakika watawahukumu ktk haki ya kuwatetea wanyonge na katu hawataogopa wala kukata tamaa kama hao walorudi ccm. kuhusu mauaji ya polisi akasema hawalaumu polisi kwa kuwa wanatii amri haramu ya viongozi wa ccm na akasema yeye na wenzake hawatacha kuwasemea wanyonge kama polisi imeua ndivyo watakavyosema bila kumung'unya maneno. kuhusu amani akasema hakuna amani palipo na udhalimu na umasikini na akampinga waziri nahodha aliyesema kuwa maandamano yanaleta umaskini, akampasha kuwa mbona maandamano yameanza juzi tu na miaka 49 mbona hamkuwapa maendeleo????ki ukweli ameongea with authority ya hali ya juu sana mpaka mawaziri walionyeshwa wanavyosisimkwa na kupigwa ganzi kwa kila sentensi aloongea.

CDM ina hazina kubwa sana...sikuwahi kumjua huyu mama kuwa ni strong that much.

Asante mkuu kwa kutujuza wengine umeme masaa2 giza masaa22

Back
Top Bottom