Jakson Makweta...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jakson Makweta...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muwaha, Jul 26, 2011.

 1. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu habari zenu?
  Naomba kuuliza hivi huyu JAKSON MAKWETA bado ni mbunge? Sijamsikia muda sasa,nakumbuka aliomba kipindi cha kwanza cha JK amalizie,mwenye taarifa naomba anijuze.
   
 2. U

  Ugimbi Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau, Jackson Makwetta siyo mbunge kwa sasa.Ombi lake la kumalizia kipindi cha JK lilikataliwa na wana magamba wakati wa kura za maoni.
  Mbunge wa sasa ni Deo Sanga a.k.a Jah People.
   
 3. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kujua Dunia kuna vituko, Ulizia kiwango cha elimu ya Jah Pipo.
   
 4. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa majibu mazuri.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Nilidhani ame RIP ahh anawatoto nae kama jk!!!
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wenyewe wanakwambia elimu si hoja,hoja ya msingi ni kudeliver!!!
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Huyo JAH people ni Rasta?
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  We Maria roza watoto unawataka tena? mbona hapa town wako masharo kibao
   
 9. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mara ya mwisho nilimuona amekonda loooh

  mix with yours
   
 10. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 11. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  'afu huyu jamaa nasikia ana fweza. Ndo maana wakamchagu. Maana ninavyojua wazee wa kibena wanawapenda watu wenye mshiko. Hata Makweta mwaka 2005 alipita kwa fweza. Alikuwa anagawia chooni, akiwahonga wajumbe walioshiriki mchakato wa kumchagua mbunge wa ccm.
   
 12. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 13. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mzee kama Makweta amejikuwa mtumishi mwadilifu lakini baada ya utumishi wake kuisha ametoswa, yupo anahangaika sawasawa na yeyote ambaye hakuwahi kuwa kiongozi wa juu katika nchi. Hizo ndo siasa za bongo. Mara mia bora kufanya professional works kuliko hizi za kupiga uongo.
   
 14. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Huyu makweta msimbonde jamani. Unajua yeye ndio waziri wa elimu aliyemshauri Nyerere mwaka 1983 tanzania ijenge secondari mpaka ngazi za kata? Alikuwa chapa kazi kweli na kila alilotaka kufanya , yeye alilifanyia survey. Hoja ya mwaka 1983 ingekubaliwa na nyerere tungefika mbali sana kwa kusomesha vijana wetu kuwapita hata Kenya na Uganda.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  The Makwetta commission. Sasa hivi imeingia hadi kwenye mtaala wa chuo kikuu ikiitwa Makwetta commssion hivyo hivyo. Huyu jamaa alikuwa na mitazamo ya mbali sana juu ya nchi yetu. Hata hivyo kwa kiasi fulani alijitahidi kutekeleza mawazo haya kwa vitendo kule Njombe alipokuja na approach ya shule za wazazi, strategy ambayo iliigwa na wengi.
   
 16. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
   
 17. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumechoka na zilipendwa ndugu yangu.
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  actually bado kuna wazee wengi bado wanatuyeyusha pale mjengoni.. wanajua kusema ndiyooooo tu wala hawajui nini wanafanya!
   
 19. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  nakumbuka jokes ya makweta pale wizara ya elimu tarehe 23/3/83 saa tano asubuhi katika mkutano wa wafanyakazi wote: alisema kiongozi hatakiwi kabisaa kuandikia hotuba bali anatakiwa kubuni yeye mwenyewe nini aseme kwa wananchi. Alisema ilitokea wakati fulani kiongozi fulani alitakiwa kutoa ripoti ya matatizo ya ufugaji wa mifugo tanzania. sasa yeye aliomba watu wamwandikie hotuba ili akaitoe huko Ufaransa. alipoandikia yeye aliiweka katika briefcase na kupaaa majuu bila ya kuihariri. katika mkutano alipofungua utangulizi wa hotuba ulianza vizuri sana na ufugaji wa mifugo Tanznaia ulivyo wa kizamani. Ila alipoendelea page ya pili alikuta jamaa zake wamemuandikia matokeo ya ligi kuu tanzania na jinsi cocha wa nyeta nyekundu, alivyopata kazi nyekundu tatu! mara page ya tatu kuna habari Kifo cha mchezaji wa simba mech na kala rovers ya nigeria,na uwanja wa kaunda usivyo na ukuta imara! Jamaa alitoka jasho na kila akifungua page anakuta mambo ya ligi kuu tanzania tuu! alijaribu labda page ya mwisho atakuta labda kuna uchogo msamaha, lakini alikua ndio kuna matatizo ya kuhama wanamuziki wa sikinde!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unajua mwenyewe kilichomkuta alipokutana na nyerere hapa nyumbani! makweta kwa hiyo mimi jokes,simsahau milele jinsi nilivyocheka!
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii Post yako nimeipenda... ifungulie thread kule kwenye Jokes... ila edit kuandikia iwe kumwandikia Lol...
   
Loading...