Ndugai alijianda kuwatoa kina lisu bungeni

<font color="#a52a2a"><b>Hawana hadhi tena , wametolewa km watoto huku askari wakiwasukuma ! WAJIUZULU</b></font>
<br />
<br />
Sera ya magamba wanamacho hawaoni wana masikio hawasikii wabunge waliowasha maiki ni wengi wakiwemo na magamba kwavire haoni/hasikii akawaona 3 asikari haohao ndo wanauwa ndugu zao kira kukicha walisha poforewa macho nikukumbushe wapo wangapi? Nasi wachovu tupo wangapi tukisimama nakusema imetosha jibu unaro
 
Mzee Madiba alipata umaarufu mkubwa wakati akiwa kifungoni, kwa yanayotokea sasa umaarufu wa CDM ndo unapanda. Walisema chama chao kitamfia mkuu wao wa sasa, kumbe ni ukweli tena ukweli mtupu.
 
Every man gotta right to decide his own destiny,
And in this judgement there is no partiality.
So arm in arms, with arms, we'll fight this little struggle,
'Cause that's the only way we can overcome our little trouble.

Brother, you're right, you're right,
You're right, you're right, you're so right!
We gon' fight (we gon' fight), we'll have to fight (we gon' fight),
We gonna fight (we gon' fight), fight for our rights!

No more internal power struggle;
We come together to overcome the little trouble.
Soon we'll find out who is the real revolutionary,
'Cause I don't want my people to be contrary.

Mkuu, nashukuru umeniletea kumbukumbu nzuri sana za zamani
 
Every man gotta right to decide his own destiny,
And in this judgement there is no partiality.
So arm in arms, with arms, we'll fight this little struggle,
'Cause that's the only way we can overcome our little trouble.

Brother, you're right, you're right,
You're right, you're right, you're so right!
We gon' fight (we gon' fight), we'll have to fight (we gon' fight),
We gonna fight (we gon' fight), fight for our rights!

No more internal power struggle;
We come together to overcome the little trouble.
Soon we'll find out who is the real revolutionary,
'Cause I don't want my people to be contrary.

hapa ndo utakubali bob marley alikuwa anaona mbali . mkuuu kuna hii emanicipate yourself from mentaly slavery non but ourself can free our mind
 
ARoo! Unajuwa, Iri Ribunge ra sasa rimechangamuka sana... Arafu rina vijana machachari sana. Unajuwa Hao vionngozi wa richama tawara wanatapata hawajuwi wafanyije.......Aroo tuwaunge mukono wapigananji
 
Brothers we have a common goal for a common challenge we face ,don wipe tears no more but collect your anger for 2015 kudadeki mijimigamba itatutambua.
 
Kwa kitendo cha kudhalilishwa wakina Lissu, Msigwa na Lema, inabidi wajiuzulu, kwani hawana heshima tena mbele ya jamii, napenda kuwasilisha !

Mbona JK alishapoteza heshima mbele ya jamii siku nyingi na bado hajajiuzulu? Hiyo brain yako ni urojo mtupu!
 
Kwa kitendo cha kudhalilishwa wakina Lissu, Msigwa na Lema, inabidi wajiuzulu, kwani hawana heshima tena mbele ya jamii, napenda kuwasilisha !

Kama jamii yenyewe ni wewe hawajiuzuru ng'o. Hawajadhallilishwa, wameinuliwa juu kwa kutetea haki. MPUUZI WE
 
<font color="#a52a2a"><b>Kwa kitendo cha kudhalilishwa wakina Lissu, Msigwa na Lema, inabidi wajiuzulu, kwani hawana heshima tena mbele ya jamii, napenda kuwasilisha !</b></font>
<br />
<br />
Aanze Kikwete ambae ni sehem ya Bunge ambae ameshindwa kushughulikia wezi wa wazi mfano bwana Jairo,au wewe hauoni hilo wewe?
 
Speaker na naibu wake wote wanafanya kazi kwa kujihami (defensive mechanism) aidha kwasababu ya uwezo mdogo au kwa makusudi kutetea mafisadi .
 
Hawana hadhi tena , wametolewa km watoto huku askari wakiwasukuma ! WAJIUZULU

inaonekana unapenda sana wajiuzuli , ungeanza na kilaza ngeleja ambaye amedhalilishwa kwa kukataliwa bajeti yake , pilii kikweti kwa kutokubaliwa na kukatiliwa na wananchi , so ondoa mawazo yako ya kipuuzi hapa
 
Lema alitoa siri zote ambazo CCM hawataki zijulikane. Hata lile la kuwakata Police pesa za mazishi yao nalo hawajapinga kama ni kweli hili laweza kujengewa hoja ya kuhamasisha Police kuandama ili waliondoe. Katika hili ntaomba wananchi tuwaachie police nao wateteee haki yao hii peke yao na wale wa vyeo vya juu wawakandamiza mabomu tehetehe
 
IPO SIKU! IPO SIKU! IPO SIKU INAKUJA!
INANIUMA SANA,INANIUMA SANA INANIUMA SANA................IPO SIKU INAKUA......
WAZALENDO WATASHINDA NAKUAMBIA....IPO SIKU NASEMA
HAKIYANANI TUTASHINDA .....TUTASHINDA NASEMA TUTASHINA...
NAWAAMBIA WABUNGE WOTE WAliokaa kishabiki bila kuweka mbele maslahi ya waliowapa dhamana ya kuwaongoza siku inakuja watakapotamani walau wakakae kwenye viti vya wageni pale bungeni lakini hawataipata!. Nawambia wasipobadilika Mungu atawahukumu.kwa sababu wanaamini kuwa wapo juu ya sheria na kuamua kufanya lolote lile.
INANIUMA SANA. IPO SIKU NASEMA >.....IPO KARIBU SANA!

Huwawezi hao wana kila kitu. CCM ni kampuni kubwa bwana na lina balance sheet kubwa. Only followers who are lied by the non existince of slogans, chama cha wakulima na wafanyakazi bila wafanyabiashara ndio wanaoshangilia. CCM hoyee
 
Back
Top Bottom