Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Hivi ni kweli simbachawene kasomea sheria?? Mbona mweupe sana.! Amejishusha mno.!

Kaka anajitapa tu huyu Chawene mana mimi navyojua na hata alivyowahi eleza akiwa bungeni still anasoma so cjui ameanzia hyo practice yake bungeni!

Akili zake ndogo sana, kwa wanachofanya wataanza kujificha hawataonekana mtaani. Walaaniwe CCM, na vizazi vyao vyote.

Hofu yangu ni hiyo wataanza kupokewa vibaya mitaani,japo wao hawaamini kuwa umma umeaanza kuawatambua na kubaini kuwa kumbe wao wapo kw maslahi yao na si ya Wananchi.Nao Wananchi wanaanza kubaini ukweli kidogo kidogo mbele ya safari yetu, moto wake mitaani ndio hofu yangu kubwa utakuwa si wa kifuu cha nazi.

wanaJF, leo nimesikitishwa sana na uwezo wa Mh Simbachawene, amejitambulisha kuwa amesoma sheria halafu akaendelea kuhalalisha mauaji waziwazi! anasema ukimghasi polisi akiwa na bunduki anakuwasha risasi(cjatia chumvi ndivyo alivyotamka). akasema hakuna cha haki za binadamu wala nini polisi wanafanya kazi nzuri sana na kusisitiza kuwa wanaharakati wa haki za binadamu wataandika sana ila wao wataendelea kuwadhibiti. alifika mahali akasahau kuwa yeye ni mbunge akawa anajibu wabunge kama vile yeye ndiye waziri wa mambo ya ndani, alikuwa anajibu hoja moja baada ya nyingine za wabunge wa upinzani. hivi alisoma wapi hiyo sheria yake iliyomuacha na ufahamu huo wa kutothamini haki za binadamu????hivi wanaharakati mko wapi jamani? msiache kauli kali za kudhalilisha utu kama hizi zikapita kimya kimya! endeleeni kuwabana mpaka wajomba zao waone aibu kuendelea kuwasaidia kama UK na USA walivyomfanya Bingu wa muthalika hapo Malawi. ameongela kuhusu kuitii mamlaka iliyopo madarakani na kujifanya anaqoute biblia(kimsingi biblia inasema tutii mamlaka kwa kila jambo jema siyo kwenye mambo yote Soma Tito 3:1,kama kuna watu wameagizwa kutii kila kitu kutoka mamlakani basi siyo kutoka katika biblia, kwenye biblia unapata context kamili baada ya kureffer maandiko yote yahusuyo mada hiyo)

UBUNGE SIKU HIZI UNANUNULIWA, UKIWA NA FEDHA HATA KAMA HUNA UWEZO UNAWEZA UKAWA MBUNGE NA KAMA NI MSHIKAJI NA RAISI UNAWEZA UKAWA WAZIRI... kweli hii ni kauli ya mwakilishi wa wananchi.. MBONA AMEZUNGUMZA KAMA ANA MAMLAKA KAMA WAZIRI... anajua kazi yake kama mbunge... kuna haja ukichaguliwa kuwa mbungu uende chuo ukajue majukumu yako
uenyekiti wa bunge anaopewagwa unamrewesha akidhani yeye ni spika...

mama Chiku Abwao ameongelea mambo mengi sana, la kwanza maandamano amesisitiza kuwa maandamano ya CDM yanaungwa mkono na watu wa rika lote kwa kuwa yanawaamusha na kuwasemea wanyonge. akaonya kuhusu kejeli ya magamba kuhusu maandamano na kusema mbona na nyie mmeunga tela kwa kuandamana Mbeya na sisi CDM hatujawakejeli?ameonya serikali kuwa iliridhia mfumo wa vyama vingi ila inaongoza nchi kwa watisha wananchi hasa wa upinzani na akasema ndo sbb leo wabunge wa upinzani walokuwepo bungeni mwaka 1995 pamoja naye hawapo,wamekata tamaa na kurudi ccm na wachache walobaki ni mawakala wa ccm kama Mzee mrema(akaonywa na m/kiti asitaje majina) ila ujumbe ulikuwa umeshafika. akairudia rudia hotuba ya Mh Lema(soma thread ya hotuba ya lema) na kuitia nguvu zaidi. Akawaonya magamba kuwa nchi haitatawalika kama CDM wakikosa uvumilivu na akawaonya tena viongozi kuwa kama wataendelea hivi wananchi watawazomea popote wapitapo na maandamano yatazidi zaidi na wananchi wameamka ndo maana wanawaunga mkono. kuhusu wabunge wa ccm kusimama na kusema wananchi watawahukumu 2015, akasisitiza hakika watawahukumu ktk haki ya kuwatetea wanyonge na katu hawataogopa wala kukata tamaa kama hao walorudi ccm. kuhusu mauaji ya polisi akasema hawalaumu polisi kwa kuwa wanatii amri haramu ya viongozi wa ccm na akasema yeye na wenzake hawatacha kuwasemea wanyonge kama polisi imeua ndivyo watakavyosema bila kumung'unya maneno. kuhusu amani akasema hakuna amani palipo na udhalimu na umasikini na akampinga waziri nahodha aliyesema kuwa maandamano yanaleta umaskini, akampasha kuwa mbona maandamano yameanza juzi tu na miaka 49 mbona hamkuwapa maendeleo????ki ukweli ameongea with authority ya hali ya juu sana mpaka mawaziri walionyeshwa wanavyosisimkwa na kupigwa ganzi kwa kila sentensi aloongea.
CDM ina hazina kubwa sana...sikuwahi kumjua huyu mama kuwa ni strong that much.
Mkuu umemaliza kiu ya wote waliotaka kujau Mama Chiku kasemaje! Nilikuwa maeneo fulani nikiwa na Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Athanas Kapunga wakati Mh Abwao akiongea. Hakika Mzee yule pamoja na mbwembwe alizokuja nazo maneno ya Abwao yamemchoma, hajasema kitu tangu mwanzo mpaka mwisho wa hotuba ya Abwao. Ameishia kutikisa kichwa tu na sisi tulikuwa tunamkodolea tu macho kuangalia jinsi anavyochanganyikiwa. Big Up Mama Abwao, mwaka 2015 tunataka uchukue jimbo mojawapo la Iringa hasa la Lukuvi maana anatusumbua sana bungeni kwake ushabiki wake wa KiCCM

Mkuu wewe hutaki kuangalia TV ya Taifa unaangalia TV Station za watu binafsi. TBC1 wame cover vizuri sana hiyo habari kwenye taarifa yao ya saa mbili usiku.

Nimeangalia TBC na ITV, TBC wamecover vizuri but mwishoni hawakuwa fair. Wamemhoji Mnyika na wengine CCM watupu. Kwanini hawakuwahoji Lissu, Msigwa na Lema ili wapate their part of story and comments?

Simbachawene anawatoa nishai wapinzani kinomanoma kwamba allegations zao kuwa eti serikali hii ina vitisho ni hoja ya ajabu kabisa. Anaendelea kusema kwamba duniani kote hajawahi kuona serikali pole na Rais mpole kama Mh. Kikwete, Rais ambaye mtu yeyote yuko huru kumtukana na kumwita majina mabaya ypote apendayo na kesho yake akawa huru kabisa anadunda mitaani bila kukamatwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria.

Hivi unajua kwamba uraisi ni taasisi?, always my mama told me huwezi kumzuia mtu kuongea na huwezi kumzuia mtu kuwaza baya au zuri juu yako au ya mtu fulani. Sheria za nchi zimewekwa kwaajili ya kufuatwa na raia wote raisi akiwemo. Swali kwako, Je upole wa kikwete upo wapi? Kuwaacha mafisadi watese mitaani, kunyamazia mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi, kamatakamata ya viongozi wa vyama vya upinzani,kuwatusi wafanyakazi kwa kuwafananisha na mbayuwayu au kutojua wajibu wake kama raisi ikiwemo njia mwafaka ya kutatua shida ya umeme?. Wabunge wa ccm hawana mwelekeo, wamekosa ushawishi na hawawezi kufikiria zaidi ya matumbo yao. Inahitaji ujasiri,umbumbumbu,utumwa, ukichaa, wendawazimu na ukipofu kukaa popote pale kuisifia ccm. Ni heri kuwa dikteta kuliko kuwa kama kikwete. He dont deserve to be our leader. Next time wewe na simbachawene msitumie matak* kufikiria. GO TO HELL

Ccm wanafikiri wanajenga kumbe wanabomoa wanafikiri eti kwa kuwakandamiza wapinzani na kuwatoa nje kutaogopesha wananchh kuunga hoja za upinzani kumbe wanajipigilia msumari wa moto.nyie tulien tu mtaona wenyewe

Da ningekuwa bungeni ningemtunza huyu mama, hata ya. Big G tu,tunataka maendeleo sio amani ya uongo!

Nchi hii inaendeshwa kijingajinga tu. Ni aibu sana kwa uongozi wa itv kuchakachua habari waziwazi namna hiyo!!

Namjua vizuri huyu mama. Nakumbuka one day nilihudhuria mkutano wa pili wa kampeni za urais za CDM pale Iringa. That day polis walitoa kibali cha mkutano but magamba wakatia mtimanyongo. Baada ya kuona Dr. Iringa amefika; wakawaseti polis waje wavuruge mkutano. Mama Abwao alifight na wale polis utafikiri mwanaume, alikuwa anajibizana nao huku wamemwelekezea mitutu ya bunduki but yeye hakuogopa kitu na baadaye akachukua mic na kuanza kuwachana polisi na magamba live jukwaani bila woga.

Kiukweli huyu mama ni fighter wa ukweli, haogopi mtu, she is real, brave, strong and she always know what she is doing.

Lusinde kuwa mwangalifu na kauli zako, sijuu CCM ni chama cha waliolaaniwa, wabunge wa CCM wanafanya kazi kwa unafiki, woga na kuabudu viongozi na wala si kuwatumikia wananchi waliowatuma bungeni.

Nilitegemea pumbaanapokuwaga mwenyekiti jamaa anaonyeshaga ushabiki wa kiccm laivu,..kaongea pumba kuanzia mwanzo hadi mwisho,..hivi unapokuwa mwenyekiti wa bunge kuna posho ya ziada unapata??labda analipa fadhila...ila chiku kawachana kinoma,..mama anajiamini yule..

Mkuu ni kweli navyofahamu anaeongoza vikao vya bunge analipwa laki tano

Sifa za hawa viongozi wetu hazidumu,juzi tu Kafulila na Hamad Rashid wametukanwa sana kuwa wanauchu wa madaraka baada ya kuipinga CDM katika kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni.Leo Kafulila anapewa sifa za kudumu kuwa anafaa kuwa na CDM huko alikofukuzwa awali.

Sitta kasifiwa sana hasa baada ya Makinda kushika kiti chake,leo Sitta ananuka humu kuliko Makinda.Kosa la Sitta ni kuwashambulia CDM mjengoni.Ndugai alipendeka kuliko Makinda,leo humu Ndugai kachukiwa kisa CDM.

Machali alitukanwa humu kisa kasema Membe anatajwa kumrithi Kikwete 2015 na hasa baada ya Lema kumtusi bungeni live.Jana Machali kumtetea Wenje Cv yake imeshuti haraka humu ndani.Mengi yameonekana humu juu ya upofu wa watu katika itikadi na kuona hata uozo unaofanywa na CDM ni mtaji wa kisiasa tu.

Jamani ebu tuweni rational katika issues ili kutopotosha umma juu ya maono yetu.Siasa za ushabiki sasa zinaathiri taaluma zetu.Hii inasababisha hakuna cha kujifunza humu zaidi ya maoni ya pande hizo hizo za itikadi hizo hizo.Tujirekebishe!

Mbatia ndio tatizo nccr-mageuzi, na sii vinginevyo.
Naunga mkono hoja.

kabisa kaka na wanaharakati wakianzisha tunaungana nao. CCM wamezidi kutufanya wananchi majuha

Wakuu,

Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi ndugu Mbatia ambaye bado ana donge la kushidwa ubunge wa kawe na Mh. Halima Mdee kiasi kwamba hata kesi aliyofungua dhidi yake amegoma kuifuta.

Ukimwondoa Mbatia katika NCCR - Mageuzi wanaobaki ni wapiganaji na wanatetea maslahi ya watanzania kama walivyo CHADEMA. Naomba ushirikiano huu uendelee hata huko Igunga ambako tunajiandaa kuchukua Jimbo basi tuite " CHADEMA & NCCR MAGEUZI OPERATION CHUKUA JIMBO". Pongezi zangu ziende kwa wabunge wote wa NCCR - Mageuzi kweli nyie ni wapiganaji wenzetu. Sisi wananchi wanyonge tunafarijika sana tukiona mnakuwa kitu kimoja.

ref: Hotuba ya Mbuge kijana wa NCCR (jina limenitoka) alivyoguswa kwa kutolewa bungeni kiuonevu kwa Mh. Wenje jana.

Kwa kweli hata mimi nimefurahishwa sana na ushirikiano wao wa hali ya juu. Mbatia nina wasiwasi naye anaweza kutaka kuvuruga ushirikiano huo mkubwa uliokuwepo.

Sifa za hawa viongozi wetu hazidumu,juzi tu Kafulila na Hamad Rashid wametukanwa sana kuwa wanauchu wa madaraka baada ya kuipinga CDM katika kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni.Leo Kafulila anapewa sifa za kudumu kuwa anafaa kuwa na CDM huko alikofukuzwa awali.

Sitta kasifiwa sana hasa baada ya Makinda kushika kiti chake,leo Sitta ananuka humu kuliko Makinda.Kosa la Sitta ni kuwashambulia CDM mjengoni.Ndugai alipendeka kuliko Makinda,leo humu Ndugai kachukiwa kisa CDM.

Machali alitukanwa humu kisa kasema Membe anatajwa kumrithi Kikwete 2015 na hasa baada ya Lema kumtusi bungeni live.Jana Machali kumtetea Wenje Cv yake imeshuti haraka humu ndani.Mengi yameonekana humu juu ya upofu wa watu katika itikadi na kuona hata uozo unaofanywa na CDM ni mtaji wa kisiasa tu.

Jamani ebu tuweni rational katika issues ili kutopotosha umma juu ya maono yetu.Siasa za ushabiki sasa zinaathiri taaluma zetu.Hii inasababisha hakuna cha kujifunza humu zaidi ya maoni ya pande hizo hizo za itikadi hizo hizo.Tujirekebishe!

Ukiona mambo yanakuwa hivyo ujue CCM wameshatuchosha ndio maana kila watakalofanya chadema tutalisifia na kuliunga mkono..

Back
Top Bottom