Recent content by Maleek El shaabaz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bangi ijadiliwe kwa uwazi na kwa mapana yake

    Bangi ni mmea wa mungu kwa sababu ni mmea ambao binadamu hatengenezi.....ila madawa ya kulevya na viroba ni vtu vya kupigwa vita kwasababu vinatengenezwa na watu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Umeridhika na maisha uliyonayo?

    Asante sana Coach MUSHI kwa somo lako....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vitu vitano (5) ambavyo mwajiri wako hataki wewe ujue, Ili aweze kukutumia vizuri

    Umeeleweka kaka,nipo mbeya nahitaji kitabu hicho
  4. M

    JamiiForums Tanzania Radio za Mbeya zinaongoza kwa kuwanyanyasa wafanyakazi

    Sio kwamba hawataki kuwalipa stahiki zao hao wafanyakazi...media nazo haziingizi pesa za kuweza kuwalipa mishahara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya daladala(hiace) Zimbabwe

    utaratibu wa daladala kubeba abilia huko upo vp!?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu imedorora sana, hali hii ni kwangu tu au wote?

    Kwa wale wanao mtegemea Mwenyezi mungu huwa hawawazi kuyumba kwa biashara,ila wale wanaoenda kwa waganga ili wafanye biashara,kazi ikiyumba wanakuwa na wasiwasi labda wamekosea mashariti
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma barua ndefu kama hii naomba tujikumbushie

    kwenye page ya kumi na tisa kuna sehemu inasema "kile ambacho mwanamke wa kizungu anamzidi mwanamke wa kiafrika ktk maumbile ya kimwili ni tofauti ya rangi,na nywele zale ni nyingi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya pumba na mashudu jijini Dar

    Mimi mwenyewe nipo mbeya, nafuga nguruwe sijawahi kusikia bei ya pumba hiyo. labda utusaidie mbeya sehem
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya pumba na mashudu jijini Dar

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama upo Mbeya unafuga nguruwe tufahamiane

    Kama upo upo mbeya mjini tuwasiale ili tujue tunasaidiana vp...naomba kuwasilsha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Matokeo Game za leo Vpl

    Mwenye matokeo ya game zote za vpl zilizopgwa leo maeneo mbalimbali ya nchi Tujuzane
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Nokia Asha 201 Imepoteza network

    Nina nokia Asha 201 inapoteza network, nimerestor factor bdo inarud kwenye hali ile ile Msaada jaman nn cha Ukiangalia ndo simu ninayotumia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hodi! Hodi! Wenyewe!

    Shukrani sana ndg
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji amekatwa udiwani Mbagala

    Anayekatwa na Akatwe tu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hodi! Hodi! Wenyewe!

    Kwa mdar mrefu nilkuwa napita humu bila kutambulika,tutakuwa pamoja kuanzia leo n kuendelea naombeni ushirikiano wenu
Back
Top Bottom