Yusuf Manji amekatwa udiwani Mbagala

Yusuf Manji amekatwa udiwani Mbagala

lile eneo bado lina uzio tu ila inaonekana wameachia kukaza

Alishauza viwanja viwili pale mbona.. Sehemu moja kuna kituo cha mafuta na supermarket na sehemu ya pili kuna bandari ya nchi kavu kwa ajili ya magari.. Hiyo kitambo Mkuu..
 

Manji (katikati) akiwasili kwenye ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ambazo mtandao huu umezipata zinaeleza kwamba jina la Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji inasemekana limeenguliwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Udiwani Kata ya Mbagala Kuu.
Vyanzo vinaeleza kuwepo kwa mchezo mchafu ‘figisufigisu’ katika ‘kulikata’ jina lake, wakati alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni akiomba kuteuliwa na chama chake cha CCM kugombea nafasi hiyo
huyo anayechungulia nyuma ya bega la kulia la Kanjubhai ni Mzee Akilimali au??
Na AKATWE tuu, pale kwenye dimbwi la samaki aliahidi kuwa atashusha "wembley" kumbe siasa tuu, wamemshtukia kuwa ni mtu wa maneno tuu!
 
Manji-11.jpg

Duh, fegi mbaya sana!
Manji-6.jpg

Kaa analia wakati walipopigwa zile tano!
 
MODS hawajuoona huu uzi? maana ukimsema mmanji vibaya uzi huwa unafungiwa au unatafutiwa pa kuchomekwa. HUYU JAMAA HUWA ANAKATA SANA PESA. alikuwa na lengo la kupita udiwani halafu aje achaguliwe nafasi ya UMEYA WA JIJI. anaenda kugombea Mbagala anapafahamu? huu usanii wa kisiasa. HUYU NI MMOJA YA WATU AMBAO KAMA INGEKUWA CHINA WANGESHA.............. KABISA. lakini ndo hivyo tena kwa tanzania. nadhani alipitiliza sana kutumia rushwa mpaka imekuwa ngumu kumfumbia macho au pengine hayupo vizuri na wakubwa flan huko juu.
 
Back
Top Bottom