lusaka city
Senior Member
- Mar 17, 2015
- 146
- 116
Nachelea kusema wamiliki wa Vyombo vya Habari hasa mkoani Mbeya, Km mmefikia kuwafanya wafanyakazi wenu wafikie hapa Hakika hiyo dhambi ya kuwazurumu haki yao itakuwa mikonon mwenu samah tariki mjane aalie nyang'anya mali za marehemu mbuza kituo cha swt fm mpaka kupelekea kufungwa amewasumbua sana wafanyakazi sasa ni zamu ya bomba fm ambae meneja wake bwana fredy herbety akiponda raha bila kuwalipa stahiki zao wafanyakazi
TCRA fungieni redioza mbeya
====================
FUNDI MITAMBO WA REDIO BOMBA FM 104.0 MBEYA ATISHIA KUJIRUSHA TOKA MNARANI KWA MADAI YA KUDAI MSHAHARA WAKE
Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm 104.0 iliyopo Jijini Mbeya Jina lake Limehifadhiwa alileta tafrani Mchana wa Leo mara baada ya kupanda juu ya mtambo wa Redio hiyo, na kutishia kujitupa chini kwa madai ya kuhitaji kulipwa mshahara wake kutoka kwa muajiri wake wa kituo hicho cha Redio kilichopo maeneo ya Block "T" Jijini Mbeya.
Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm (jina kapuni) akiwa juu ya Mnara wa Redio hiyo huku akisikika kusema "Mpaka Kieleweke leo nataka Pesa Zangu..."
Mpaka Kieleweke...
Baadhi ya wakazi na Wananchi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia tukio hilo...
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
TCRA fungieni redioza mbeya
====================
FUNDI MITAMBO WA REDIO BOMBA FM 104.0 MBEYA ATISHIA KUJIRUSHA TOKA MNARANI KWA MADAI YA KUDAI MSHAHARA WAKE
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.