Recent content by makugegamba

  1. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

    Una miaka mingap ninaweza, share kitu na wew
  2. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Nondo za usaili wa udereva tafadhalini

    nguzo tano za udereva nini maana ya udereva wa kujihami kazi 5 za udereva ainga ngap za alama za road faida za logbook
  3. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Dereva wa halmashauri vs Dereva wa Mahakama

    Mimi ni dereva na nina washikaj zangu madereva kwenye hizo tasmadisi zote mbili ila mahaka aiseee kule ni balaaaa na kingne kuhama mahakana ni kama kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi so bora local govement kidogo unaweza ukatusua mahakama labda kumhebdesha jaji na kama ni dereva mgeni ni kazi...
  4. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    hapo ndio utajua mchina ni nani
  5. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Huyu binti atanifanya niwe masikini

    hayo na mim yanikuta
  6. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuijua Mark 2 number A

    chukua 4s imetulia sana zile chaser
  7. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

    pole ndugu nilipoteza simu ndio nimelud tena baada ya muda mrefu kama bado hujafanikiwa nichek
  8. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

    kuna viwanda vya wachina huko wamewekeza sana kwenye inshu za board coz ya miti mingi
  9. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

    Mafinga vipo vingi sana
  10. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda soko la Buguruni

    mali mbichi kwa milion mbona mtaj mdogo sana coz huo ni mtaji wa mfanyabiashara wa matunda ndan ya dar anae nunua mzgo kutoka kwa mfanyabiashara wa arusha au Tanga
  11. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

    Mimi ni dereva wa truck nimeona watu wengi wanachukua pumba mikoa ya nyanda za juu kusini hasa songea kule pumba ni bei chee sana mala mwisho mwezi wa 3 debe ilikuwa elfu 1000 kijijini hadi mia 800. Kuna kipindi nilikuwa nikikosa mzigo wa kurudi nao nanunua pumba nakuja kuuza Dodoma debe Dom...
  12. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Unaoga mara ngapi kwa siku?

    kuoga kama huja date hayo ni matumiz mabaya ya maji
  13. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Nachelewa kufika mwisho hata niendeshe vipi

    Hiyo hata mimi inanitokea ila nikutumia Tube ila nitembelea rimu dk 5 nyingi chap sana
  14. makugegamba

    JamiiForums Tanzania Single mother ameniteka

    Ana hela au nyauba tu
Back
Top Bottom