Njoo Songea uchukueNipo Dar
BureNjoo Songea uchukue
Nipe maujanja mkuu vipi huko pumba inapatikana kwa wingi? Na soko lake linauhakika?Mimi ni dereva wa truck nimeona watu wengi wanachukua pumba mikoa ya nyanda za juu kusini hasa songea kule pumba ni bei chee sana mala mwisho mwezi wa 3 debe ilikuwa elfu 1000 kijijini had mia 800. kuna kipindi nilikuwa
Jiandae wakati wa masika ukizubaa utalala njaa na mtaji utakata wote !!Habari wanajamvi,
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani?
Mwenye uzoefu anijuze tafadhali.
Unazungumzia pumba ya mahindi au pumba lain ya mpunga?Mimi ni dereva wa truck nimeona watu wengi wanachukua pumba mikoa ya nyanda za juu kusini hasa songea kule pumba ni bei chee sana mala mwisho mwezi wa 3 debe ilikuwa elfu 1000 kijijini hadi mia 800.
Kuna kipindi nilikuwa nikikosa mzigo wa kurudi nao nanunua pumba nakuja kuuza Dodoma debe Dom walikuwa wananunua elfu 4000.
Gunia mpaka linaingia kwenye gari linakuwa limekosti sh elfu 80 coz Debe 6 ni elfu 6000, kuna wapakiaji kamba, ushuru, wajazaj, mifuko na mambo mengine so kwa kila gunia nikiuza nilikuwa napata elfu 16000 profit so kama wewe hauna gari tulikuwa tunasafilisha kwa sh elfu 6000 kila gunia Songea to Dom.
Unazungumzia pumba ya mahindi au pumba lain ya mpungaHabari wanajamvi,
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani?
Mwenye uzoefu anijuze tafadhali.
yeye anahitaji bureBure
ingawa sijaulizwa mimi ila jibu ni ndio zinapatikanaNipe maujanja mkuu vipi huko pumba inapatikana kwa wingi? Na soko lake linauhakika?
Nicheki inbox tueleekezaneHabari wanajamvi,
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani?
Mwenye uzoefu anijuze tafadhali.