Nachelewa kufika mwisho hata niendeshe vipi

Hii hali ipo kwa kila dereva? Nina tatizo la kutofika kabisa mwisho wa safari hata nikibadilisha rubber maana mimi ni mpenzi wa kutumia raba naogopa mpigiri.

Juzi moja nilipata gari moja hivi nikaendesha kwa muda wa saa 3 lakini nikashindwa kufika kbs safari ya Kibaha tu. Nikabadilisha raba wapi nikalala njiani.

Nikaamkia asubuhi holaa gari linaunguruma hasa mpaka linachoka lakini mimi dereva nashindwa kufika, na sio kama gari mbovu linasimama hasa ila hali hii ikeshanitokea mara nyingi uwa napata hasara tu gari linaondoka bila kufika safari lenyewe linamwaga oil sana.

Je, jamani mimi dereva goigoi ama natakiwa kuendesha guta na TOYI?
Madhara ya kupima Oil na Kuzoea kupita topeni
 
Back
Top Bottom