jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,101
- Thread starter
- #41
Naitaji msaada nilivishwa bangiri bila kutarajiaRoho yako ndezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaji msaada nilivishwa bangiri bila kutarajiaRoho yako ndezi kabisa
Kila mtu uwa na viwago vyake vya kumpenda mpenz wake Mimi naona nimevuka viwango Yan nimepitilza mpaka najiisi vibayaKwani 'singo maza' si ni mwanamke na wewe ni mwanaume? Halafu mwanaume na mwanamke huwa wanapendana
Ivue, njoo univalishe mimi
Ndio hivyo sasa hiyo sio bangili ni pingu ushafungwa hapo huchomoki dingii.
Usimshtue bhn🤣imeisha iyo
Nikwel maana alivyo nivisha tu baada ya siku mbili nikawa namuwaza yeye muda mwingi nakuwa namfikilia yeye tu moyo unakuwa mzitoNdio hivyo sasa hiyo sio bangili ni pingu ushafungwa hapo huchomoki dingii.
Kuna siku nilienda kuoga niliivua nikaliacha ndani nilivyo maliza kuoga nikalisaau kulivaa, mshikaji wangu akalichukua akalificha kwake, Sasa tulivyo onana na single mother nikamwambie zawad yako rafiki yangu kaichukua ana ivaaa, dem akawa mnyonge kweli Kama dakika 5, akanijib mwambie akupe kwanini avae zawad ya mpenz wakoNdio hivyo sasa hiyo sio bangili ni pingu ushafungwa hapo huchomoki dingii.
Vumilia tu kama hana mambi ya kukuomba ela kila mda wendelea kubembea tuKuna siku nilienda kuoga niliivua nikaliacha ndani nilivyo maliza kuoga nikalisaau kulivaa, mshikaji wangu akalichukua akalificha kwake, Sasa tulivyo onana na single mother nikamwambie zawad yako rafiki yangu kaichukua ana ivaaa, dem akawa mnyonge kweli Kama dakika 5, akanijib mwambie akupe kwanini avae zawad ya mpenz wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje?
Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma nilikuwa simpendi alikuwa ana ladhimisha tuonane Mimi nilikuwa na mpiga chenga Sana, siku Moja nika mkubalia tuonane na kweli tukaonana, siku hiyo tulivyo onana akanipa zawadi ya kuvaa mkononi lichuma flani akanivalisha mkononi, Cha kushangaza tokea siku hiyo nime kuwa nikimpenda na kumuwaza Sana tofauti na kipindi cha nyuma, Yan siwez kukaa bila kumjulia hari, wakat kipind cha nyuma ilikuwa ina pita miez simtafuti kabisa. Nashangaa sasaivi muda wote roho kama inataka kutoka kwa kumuwaza yeye tu huyu single mother, Yan asipo pokea sim yangu au kujibu sms zangu naumia Sanaa mpaka naanza kuisi Kuna Jambo nimefanyiwa kabisa, na Mimi sipendagi madem kutoka moyoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumpigia simu haitoshi, inafaa akoleze tu ubani, ukae unamfata fata kama mkia wake....
. Kabanga, vip wewe was mwisho was relieved au jina tuSawa....