Kuna gx81,gx90,gx100 na gx110 sasa cjui unaongelea ipi kati ya hizoNina ka milioni 3 hapa na akili inanituma ninunue Toyota mark 2 number A either iwe chaser au grande.
Vipi kuhusu uimara wake
Fuel consumption
Service
Uwezo wa safari ndefu
Cc zake.
Gari za wanyonge, maisha ndo haya haya
Kuanzia km ngap hv mkuu, hii research ni kwa gari zote?Kumbuka engine ikizeeka huwa inakula mafuta
Sina utaalamKuna gx81,gx90,gx100 na gx110 sasa cjui unaongelea ipi kati ya hizo
Sent from my phone using JamiiForums mobile app