Recent content by Makonyeza

  1. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Nani kampiga risasi Trump? Tabia ya kuua kwa risasi viongozi wao imekuwa ni ya mazoez na kawaida kwa Wamarekani. Hii ndio sababu Marekani linatajwa kuwa ndio taifa pekee ambalo sehemu kubwa ya bajeti yake hutumika kwenye masuala ya kiusalama Inaelezwa asilimia 65% ya bajeti hutumika kwenye...
  2. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Mdororo au anguko la Hiphop Tanzania

    Hahahahaaa
  3. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Mdororo au anguko la Hiphop Tanzania

    Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo kimya sana kiasi kwa sisi mashabiki ni bonge la ghasia,binafsi inaniudhi. Angalia mfano huu,juzi juzi...
  4. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Neema, jina lililoimbwa zaidi Tanzania

    Wapenzi wa muziki wa Dansi wengi ukiwatajia jina la Neema kumbukumbu zao hurejea kwenye sauti ya Cosmas Chidumule akiwa na DDC bendi iliyomilikiiwa na Shirika la Maendele Dar es Dalaam (Dar es Salaam Development Corporation-DDC). "Usipate taabuuu Neemaaaa,ukiyoyafanya siyo mageni hapa...
  5. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Aina tatu za Wachambuzi wa Soka

    Kwanza nikukumbushe,nilishawahi kuandika,hakuna chuo wala darasa la kufundusha uchambuzi wa Soka. Ukweli huu haimaanishi sasa kwamba kila mtu anaweza kuuzungumza Mpira na akaeleweka. Na niweke angalizo muhimu,uchambuzi wa soka usichanganye na uhuru wa Maoni,maoni yanatolewa na mashabiki...
  6. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Changamoto 10 usafiri mwendokasi

    Sina shaka hata kidogo na utendaji wa Mkurugenzi Waziri Waziri Kindamba. Hakuna chembe ya ubishi ndiye aliyeleta mapinduzi katika utendaji wa kampuni ya umma ya TTCL ambayo kabla ilikuwa 'Mortuary' ikipumua kwa msaada wa mashine. TTCL ilitajwa kuwa miongoni mwa taasisi za serikali...
  7. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunaiamini DNA?

    Usijibu maswali magumu kwa viswali mrejeo vya kuokoteza bila kufikiri,kwani majibu yote ya Malaria unayopewa ni sahihi? Hujasikia visa vya watu kuambiwa hawana Malaria hospital hii na akienda hospital nyingine anakutwa na Malaria?? Labda Malaria utasema ugonjwa mdogo,hata ukimwi hujasikia mtu...
  8. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunaiamini DNA?

    Kwanza najiuliza, Nani aligundua DNA? Kwangu kila kilichobuniwa na kutengenezwa na binadam ninaamini hakifanyi kazi kwa asilimia mia moja. Kama unatazama mpira utanielewa nikiitaja VAR iliyotajwa kuja kuondoa utata wa mambo, lakini kumbe nayo tumeshuhudia haipo sahihi. Hata hii DNA haikupi...
  9. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Riziki

    Mafundi na wakufunzi wa lugha wameitafasiri kama ni 'Neema ya Mungu kwa viumbe wake'. Zingatia maneno '...kwa viumbe wake' ikimaanisha sisi wanaadam na wasio na visivyo binaadam. Neema hii kwa viumbe hupatikana kwa njia kuu tatu ambazo ni: 1. Kufanya kazi Hii inajumuisha kufanya kazi za halali...
  10. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania My big no to GMO!

    Sayansi na teknolojia ni maendeleo ya mwanaadamu ambayo yanaelekea kuiharibu Dunia yetu nzuri tuliyozawadiwa na Mungu. Hii ndo kusema akili za mwanaadamu sasa zimepindukia kiasi cha kumdhuru yeye mwenyewe bila kujua. Ninathubutu kusema haya yunayoyaita maendeleo hakika ni maangamizi kwetu...
  11. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya Kiingereza

    Mteja: Aisee vipi salama? Mimi: nipo salama, lete habari Mteja: Sasa bwana Wakili kumbe yule mteja uliyeniletea anaongea Kingereza? Mimi: Ndiyo, ni Mzimbabwe, kwani tatizo nini? Mteja: Aaaah, ungenambia mapema Kaka nijiandae, tumeshindwa kuelewana bwana, na Biashara yenyewe na yeye sitaki tena...
  12. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

    Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya. Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
  13. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Akili kubwa sana

    Spotpesa na Dar Young Africa, akili kubwa sana[emoji123]. Wala haihitaji nguvu nyingi akili ikijitosheleza. Maana mantiki na malengo ya matangazo ya biashara ni jamii au umma unaolengwa kama walaji wa huduma ya Kampuni husika kuijua kampuni yao na huduma zake. Ndiyo sababu watu maarufu wenye...
  14. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Rage unatuongopea mzee wangu!

    Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY! Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu. Kwanza Azam...
  15. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Mahakama imemkuta marehemu na hatia ya kuvunja katiba! Kwa nini alaumiwe marehemu ilhali hakufanya yeye binafsi bali ni MAMLAKA,ambayo ipo mpaka Sasa? Sio mara ya kwanza mahakama kujiridhisha kuvunjwa kwa katiba, baada ya hapo adhabu kwa mkosaji ninini, au nafuu(remedy) kwa aliyekosewa(Victim)...
Back
Top Bottom