Akili kubwa sana

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Spotpesa na Dar Young Africa, akili kubwa sana.

Wala haihitaji nguvu nyingi akili ikijitosheleza. Maana mantiki na malengo ya matangazo ya biashara ni jamii au umma unaolengwa kama walaji wa huduma ya Kampuni husika kuijua kampuni yao na huduma zake.

Ndiyo sababu watu maarufu wenye kujitambua wakihojiwa huzuia kuonesha bidhaa za kampuni kama nembo za vinywaji au mavazi ambazo hana mkataba nazo.

Spotpesa ndio wadhamini wakuu wa Club ya Yanga na kwa ajili hiyo popote Yanga ikionekana Jina la mdhamini huyu litatakiwa kuonekana kifuani kwenye vazi la mwana Yanga. Lile lengo la kuitangaza kwa umma linatimia na ndio Uhai wa Kampuni.

Kanuni za ushiriki wa Yanga au timu yoyote mashindano ya Caf hairuhusu kuvaa nembo ya Kampuni ya Kamali, yaani Bet kwa sababu na wao wanadhaminiwa na kampuni ya Kamali.

SPOTPESA ni mhanga wa kanuni hii na anajua hali ilivyo, afisa mahusiano wa Kampuni hiyo amethibitisha. Kwa hiyo wala usitegemee au kutarajia spotpesa kunufaika na mashindano yoyote ya Caf.

Sasa ili wanufaike inahitajika akili ya ziada, ndicho kilichofanyika. Yanga Katangaza mdhamini mpya kwa mashindano ya Caf, Haier.

Eng. said amethibitisha walishauriana na wadhamini wao wakuu, na afisa mahusiano wa SPOTPESA amethibitisha hilo, lakini wakati Huohuo taharuki inaibuka SPOTPESA wanadaiwa kulalamika kwamba hawa kutoa ridhaa hiyo.

Sasa matokeo au athari yake ni kama unavyoona, kila redio na magazeti kwa wiki nzima Sasa wanajadili (kuitaja) spotpesa. Kiufundi lengo limetimia, Spotpesa Inatangazwa na Vyombo vya habari bila kulipia, na ndio wamenufaika na mashindano ya Caf kwa kutumia akili.

Ukiwa Dunduka huwezi kuyaelewa haya.
 
Umeandika ushabiki wa kitoto Sana..kumbuka jezi mpya zitaendelea kuwepo mtaani..Tena feki zitakuwa nyingi..usishangae ukienda taifa kuangalia mechi za yanga ukakuta robo ya mashabiki wamevaa jezi hizi za caf badala ya za sportpesa..
Sportpesa anaenda kufifisha jina au kutopata kile alicholipia..
 
Kwa hiyo zile jezi zenye sportpesa hazitovaliwa Tena na mashabiki!?
 
Acha kujitekenya na kujichekesha mwenyewe. Wadhamin ndani ya klabu ni kama wawekezaji kwenye Nchi. Ukiwavuruga wakaondoka utakuja kuwatafuta kwa tochi.
Unachowaza wewe ni akili ya Vidudu inayoona leo tu lkn haioooni kesho. Mazingira haya ya kukouka mikataba ya wadhamini yanawacost pasipokujua, hakuna mwekezaji serious atakuja kutoa udhamini mnono kwa watu wenye akili kama zako na UTOPOLO wenzio
 
Kawadanganye wale wenzako wote wenye rangi za nyoka nyoka wa kibisa
 
Mwishowe Maisha yataendelea.

Haier katoa mkwanja, Yanga kavuta 1.5B.

Sportpesa atavaliwa kwenye ligi and the game moves on.

Nimekaa pale
 
Spotpesa na Dar Young Africa, akili kubwa sana.

Wala haihitaji nguvu nyingi akili ikijitosheleza. Maana mantiki na malengo ya matangazo ya biashara ni jamii au umma unaolengwa kama walaji wa huduma ya Kampuni husika kuijua kampuni yao na huduma zake.

Ndiyo sababu watu maarufu wenye kujitambua wakihojiwa huzuia kuonesha bidhaa za kampuni kama nembo za vinywaji au mavazi ambazo hana mkataba nazo.

Spotpesa ndio wadhamini wakuu wa Club ya Yanga na kwa ajili hiyo popote Yanga ikionekana Jina la mdhamini huyu litatakiwa kuonekana kifuani kwenye vazi la mwana Yanga. Lile lengo la kuitangaza kwa umma linatimia na ndio Uhai wa Kampuni.

Kanuni za ushiriki wa Yanga au timu yoyote mashindano ya Caf hairuhusu kuvaa nembo ya Kampuni ya Kamali, yaani Bet kwa sababu na wao wanadhaminiwa na kampuni ya Kamali.

SPOTPESA ni mhanga wa kanuni hii na anajua hali ilivyo, afisa mahusiano wa Kampuni hiyo amethibitisha. Kwa hiyo wala usitegemee au kutarajia spotpesa kunufaika na mashindano yoyote ya Caf.

Sasa ili wanufaike inahitajika akili ya ziada, ndicho kilichofanyika. Yanga Katangaza mdhamini mpya kwa mashindano ya Caf, Haier.

Eng. said amethibitisha walishauriana na wadhamini wao wakuu, na afisa mahusiano wa SPOTPESA amethibitisha hilo, lakini wakati Huohuo taharuki inaibuka SPOTPESA wanadaiwa kulalamika kwamba hawa kutoa ridhaa hiyo.

Sasa matokeo au athari yake ni kama unavyoona, kila redio na magazeti kwa wiki nzima Sasa wanajadili (kuitaja) spotpesa. Kiufundi lengo limetimia, Spotpesa Inatangazwa na Vyombo vya habari bila kulipia, na ndio wamenufaika na mashindano ya Caf kwa kutumia akili.

Ukiwa Dunduka huwezi kuyaelewa haya.
akina binti kazumali wanajisumbua sana na hili swala...GSM,Yanga,Sporpesa na Haier are on mission,wanajua wanachokifanya
Hivi unadhani ukubwa wa GSM na wanavyo run kampuni yao unataka nambia hawajui lolote kuhusu mambo ya mikataba mpk wafanye haya?
TEMENI MATE CHINI NYIE...
 
Kwa hiyo zile jezi zenye sportpesa hazitovaliwa Tena na mashabiki!?
Mzamini mpya(m bet) lifanya tathimini kabla ya kuingia mkataba na Simba..alijua jezi za sportpesa zitaondoka taratibu .
Vipi kwa upande wa yanga..Hawa sportpesa pesa wamekubali kuwa na jezi mchanganyiko
 
Kwani lengo ni shabiki avae hizo jezi au timu!?
 
Dunduka FC wanajiona wapumbavu kushindwa kupata hela za wadhamini kwenye CAF, wanabaki kuomba omba fedha za familia ya MO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom